Mjue Raisi wa Croatia mama Kolinda Grabar.

Ni mfano wa kuigwa.. hana ushamba wa uongozi..
 
Hii post ni ya uongo hasa hapo kwenye habari za huyo mama kuwa komando. Najua wewe umeitoa kwa Shafii dauda. Kaangalie mwenzio aliifuta ghafra baada ya kuona koment za wadau. Hizo pic akiwa amevaa nguo za kijeshi ni kipindi akiwa ameshakuwa kiongozi wa nchi yake.
Google nenda kaangalie wikipedia kama utakuta hizo habari.
 
Kwenye kupigwa miti anaacha ushujaa wote huo kwenye chupi
 
Huyu mama alinivutia sana kwa kweli. She is so good kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…