Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
๐๐๐๐๐Nilikua jina la mtu mwingine mwenye pesa baada ya kugoogle na kumkosa ndio nikajua unamaanisha "kuna biashara haram"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Nilikua jina la mtu mwingine mwenye pesa baada ya kugoogle na kumkosa ndio nikajua unamaanisha "kuna biashara haram"
Wanasiasa huwa hawahesabiki kwenye utajiri maana utajiri wao upo kiujanja ujanja kwenye orodha ukiweka wanasiasa basis matajiri dunia nzima watakuwa wanasiasa.Niliwah kusoma sehem kuwa hata putin ana chenji ndefu kuliko kina jeff na bill gate
Wahindi nomaaaKumbe Mhindi! Basi wala sishangai maana hao watu sasahivi kila kitu wamo tena nafasi za mbele...
Watu wenye mpunga mrefu duniani ndo kama hivyo
Ukicheki idadi ya watu India anakaribia kumpiku China
Wasanii matajiri basi utamkuta mhindi yupo at the top
Watu wanene warefu sijui sifa gani wahindi wamo kama kawa kama dawa
Dini nyingi... India
Kabila/Lugha nyingi hukohuko
Yaani kila kitu wamo iwe kihasihasi au kichanyachanya lazima utawakuta ila nadhani ni kutokana na wingi wao
Hapa ndo utaamini msemo "PENYE WENGI PANA MENGI".
Mukeshii ni tajiri sana na ana nyumba ya gharama na ya kwanza kwa MTU binafsi dunianiHuko India wenzetu wamenoga kuna yule mjamaa wanamuita Mukesh Ambani nae sio poa.
Yaaap Mukesh sio mtoaji kivile Ratan hana mke wala watoto anawekeza kwa jamii saanaTata yeye anatoa 65% ya mapato yake kwny CSR,jamaa angekua anakunja hio 100% yote unadhani angekua wapi?
Mukeshi hata wahindi wenyewe wanamponda sio mtu wa misaada wala nini,yuko zake bize na bata zake tu.
Kweli mkuu,naona jamaa alimua kutokua na familia kabisaaaYaaap Mukesh sio mtoaji kivile Ratan hana mke wala watoto anawekeza kwa jamii saana
[emoji3]Alam za cm zetu hz...au ulitaka kusema haramu?
Always Maskini hana starehe nyingine zaidi ya kuijaza dunia! Matajiri wengi akili yao wameiwekeza sana kwenye kutafuta pesa..Yaaap Mukesh sio mtoaji kivile Ratan hana mke wala watoto anawekeza kwa jamii saana
Nzeze mosieKun biashAl alam
Unajua idadi ya products za Mo wewe au ndio wale akili zenu munaijua MoExtra tuYani huwa najiuliza huyu MO utajiri wake ni UPI hasa,ukiangalia products zake kwa hapa Tanzania katika watu 10 utakuta ni MTU 1 ndio anaijua au kuitumia still wanatuambia ndio tajiri Tz??????
ComedyWanasiasa huwa hawahesabiki kwenye utajiri maana utajiri wao upo kiujanja ujanja kwenye orodha ukiweka wanasiasa basis matajiri dunia nzima watakuwa wanasiasa.
Chukulia mfano mdogo ukimulinganisha No na Kikwete utasema Mo anapesa kuzidi kikwete lakini uhalisia ni kuwa hiyo Mo anaweza asifike Hata nusu ya utajiri alionao Kikwete has a kwenye Nchi za kiafrika.
Umemaanisha nn?Kun biashAl alam
Bila kumsahau UHURU KENYATTAWanasiasa huwa hawahesabiki kwenye utajiri maana utajiri wao upo kiujanja ujanja kwenye orodha ukiweka wanasiasa basis matajiri dunia nzima watakuwa wanasiasa.
Chukulia mfano mdogo ukimulinganisha No na Kikwete utasema Mo anapesa kuzidi kikwete lakini uhalisia ni kuwa hiyo Mo anaweza asifike Hata nusu ya utajiri alionao Kikwete has a kwenye Nchi za kiafrika.
Duh na UTAJIRI wote huo hana hata damu yake duniani?Yaaap Mukesh sio mtoaji kivile Ratan hana mke wala watoto anawekeza kwa jamii saana