Mjue Ratan Tata tajiri asiye tajwa na Forbes

Mjue Ratan Tata tajiri asiye tajwa na Forbes

Yeah true Rothschild family kwa mfano hao ndio wanacontrol mifumo yote ya finance duniani...
lkn pia kuna Walton family inasemekana jamaa wanamiliki ukwasi wa dola bilioni 215....
Wenye pesa haswa hawajionyeshi. Mfano hapa kwetu Tanzania bw. Salim Said Bakhresa kimya hana kelele
 
Kuchapishwa na Forbes unalipia, ama wewe mwenyewe au waliopendekeza hilo wazo. Sasa kuongelewa humo sijui ni mbinu ya kibiashara ama ni kujionesha, ni uamuzi wa mhusika.
Both mbinu ya biashara etc
 
Back
Top Bottom