Mjue Ratan Tata tajiri asiye tajwa na Forbes

Niliwah kusoma sehem kuwa hata putin ana chenji ndefu kuliko kina jeff na bill gate
Wanasiasa huwa hawahesabiki kwenye utajiri maana utajiri wao upo kiujanja ujanja kwenye orodha ukiweka wanasiasa basis matajiri dunia nzima watakuwa wanasiasa.
Chukulia mfano mdogo ukimulinganisha No na Kikwete utasema Mo anapesa kuzidi kikwete lakini uhalisia ni kuwa hiyo Mo anaweza asifike Hata nusu ya utajiri alionao Kikwete has a kwenye Nchi za kiafrika.
 
Wahindi nomaaa
 
Mbona tulivyokuwa wadogo kulikuwa na uvumi kuwa TATA ni ya nyerere na kwa lugha yao ya kizanaki hilo neno maana yake baba
Maana ya Jina linaweza kua sahihi ila Nyerere yeye hahsihah kabisa katika kumiliki kampuni hiyo
 
Umekopi sehemu au umeifanya Research?
Hata kumfikia Mukesh Ambani bado ,Ndo awe tajiri zaidi ya Jb,E musk,Na bill gates.
Una utani mkuu
Hii ipo hivyo si mbaya nikifuatilia na utajiri wa huyo Mukesh.
Soon nitaleta humu
 
Ukiona forbes wametaja ujue wamefanya uchunguzi koote dunian, huyo wa india namfaam hawezi kuwafikia hao wakina jeff hao ni nomaaa pekua kwa kina utaona data zao
 
Yani huwa najiuliza huyu MO utajiri wake ni UPI hasa,ukiangalia products zake kwa hapa Tanzania katika watu 10 utakuta ni MTU 1 ndio anaijua au kuitumia still wanatuambia ndio tajiri Tz??????
Unajua idadi ya products za Mo wewe au ndio wale akili zenu munaijua MoExtra tu

Kuhusu kuona watu wanaotumi Mafuruki alikuwa Moja ya maTop alishawai hata kumshuhudia anayrtumia Product yake kwa mantiki hii ilibidi Makzack awe tajiri kuliko Bezos kuliko Musk
 
Comedy
 
Bila kumsahau UHURU KENYATTA
 
Tata makampuni yake ni public listed
Yeye sio majority shareholder
Data zako katazame upya.
Anamiliki chini ya asilimia 5
Halafu ni makampuni ya babu na Baba
Sio founder ...wapo wengi Wana familia wenye hisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…