Yeah true Rothschild family kwa mfano hao ndio wanacontrol mifumo yote ya finance duniani...
lkn pia kuna Walton family inasemekana jamaa wanamiliki ukwasi wa dola bilioni 215....
Kuchapishwa na Forbes unalipia, ama wewe mwenyewe au waliopendekeza hilo wazo. Sasa kuongelewa humo sijui ni mbinu ya kibiashara ama ni kujionesha, ni uamuzi wa mhusika.