Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
- Thread starter
-
- #101
Sure mkuuRaha ya maisha pesa
Pia kuna jamaa anaitwa kitu kama Patrick Bologna,ni bwana mdogo sana kwa miaka hiyo ila alikuwa na kisu balaa kuna ile live show alipigaga JB Mpiana huko France title yake ni ZENITH humo Bologna wamemtaja kama mara 1000 na zaidi.Ahsante Papaa...!
Hata mimi pia nilijaribu kumzungumzia mtu mmoja maarufu sana na muhimu sana kwa JB mwansiasa anaitwa Adam Bombole...!!
Kama una information zake pia tuongezee kutujuzaa....
Hiyo OMBAA akikupigia mtu halafu kwenye music system yenye hadhi kidogo na iliyokamilika hata kama sio mpenzi wa dansi lazima mguu na kichwa uvichezeshe chezeshe.Dah!!!!! Muziki upo wapi siku hizi,nasikia kelele tu,sielewi lugha yao ila napenda muziki mzuri wa hawa jamaa
Watoto wa mobutu na wa wale waliokua karibu na mobutu walinufaika mnoPia kuna jamaa anaitwa kitu kama Patrick Bologna,ni bwana mdogo sana kwa miaka hiyo ila alikuwa na kisu balaa kuna ile live show alipigaga JB Mpiana huko France title yake ni ZENITH humo Bologna wamemtaja kama mara 1000 na zaidi.
Inavyoonekana hawa vijana wengi wao wazee wao walikuwa na mtiririko fulani kwenye system ya Mobutu so wakawa na ukwasi wa hali ya juu sana mfano wikipedia wanasema huyu Bologna sasa yupo aged 39 ila toka miaka ya 97/99s yupo anafadhili band it means akiwa na miaka 19 tayari alikuwa ameshasimama vizuri.
Sasa ni mwanasiasa kwao DRC.
MnoHuyu jamaa alikuwa hatari sana
Kwa sasa ana dili gani huyo mlinzi au kachoka tuMno
Nitayaleta mengine
Nimemtumia ujumbe juzi mlinzi wake ila mpaka sasa hajanijibu
Sijajua ana dili ganiKwa sasa ana dili gani huyo mlinzi au kachoka tu
huyo Joseph kongolo umaarufu wake uliibuka katika kipindi hiki cha utawala wa rais kabila. sidhani kama anahusiana kongulu mobutu, mtoto wa mobutu seseseko.Josefu kongolo
Napenda sana muziki wa Wenge BCBG.Nyimbo kama process mambika,Barakuda,Pentagon,nk ni nzuri,hazichuji.Anayejua historia kamili ya bendi hii mpaka kusambaratika kwake adondoshe nondo humu.Nitafurahi mno.Katika album ya Pentagon ya Wenge BCBG wamemtaja sana jamaa..Saddam Hussein
Ngoja wajeNapenda sana muziki wa Wenge BCBG.Nyimbo kama process mambika,Barakuda,Pentagon,nk ni nzuri,hazichuji.Anayejua historia kamili ya bendi hii mpaka kusambaratika kwake adondoshe nondo humu.Nitafurahi mno.
Kuna nyimbo yao wanaimba kuhusu historia ya kundi .niliiskiliza last week ngoja nitaiweka humuNapenda sana muziki wa Wenge BCBG.Nyimbo kama process mambika,Barakuda,Pentagon,nk ni nzuri,hazichuji.Anayejua historia kamili ya bendi hii mpaka kusambaratika kwake adondoshe nondo humu.Nitafurahi mno.
Surehuyo Joseph kongolo umaarufu wake uliibuka katika kipindi hiki cha utawala wa rais kabila. sidhani kama anahusiana kongulu mobutu, mtoto wa mobutu seseseko.
Saddam Hussein OnfallJose Kongolu FBI