Mjue Saddam Hussein wa Zaire

Mjue Saddam Hussein wa Zaire

Pana wimbo inaitwa Recto verso kaimbwa Adam bombole hata katika OMBA pana sehemu anaimba "soki nazalaki lokola Adam bombole soki nazalaki lokola Andrew kimbuta soki nazalaki president patchel nde natongelayo chateau na ville monaco.kifupi anasema angekuwa na pesa kama watu hao basi angemjengea jumba katika jiji la monaco.
Dah!!!!! Muziki upo wapi siku hizi,nasikia kelele tu,sielewi lugha yao ila napenda muziki mzuri wa hawa jamaa
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa kuna binaadamu hata kama wanaishi maisha mafupi sana lkn yanakuwa yametawaliwa na amani sana!
 
Dah!!!!! Muziki upo wapi siku hizi,nasikia kelele tu,sielewi lugha yao ila napenda muziki mzuri wa hawa jamaa
Fanya hivi nenda Google kwa mfano wimbo OMBA jb mpiana lyrics waweza kupata ya kingereza ukaburudika fanya hivyo ila sio nyimbo zote zipo penye utaratibu huo.
 
Back
Top Bottom