Mjue Saddam Hussein wa Zaire

Mjue Saddam Hussein wa Zaire

Ahsante Papaa...!
Hata mimi pia nilijaribu kumzungumzia mtu mmoja maarufu sana na muhimu sana kwa JB mwansiasa anaitwa Adam Bombole...!!
Kama una information zake pia tuongezee kutujuzaa....
Huyu simfahamu ila kuna mtu kamuulizia tena humu
Ngoja nicheki uzi wako nimfahamu
 
Mobutu alikuwa akitaka kitu haulizi bei yeye anasema tu leteni..
Na alikua na roho nzuri
Nilisom sehemu kuna mtu anaadithia walikutana kwenye lift ya hotelini huko uswizi.
Mobutu akaanza yeye kumsemesha yule jamaa na akamkaribisha alipofikia wakanywe whisky
Jamaa akakataa.badae kuuliza yule ni nani akaambiwa ni mobutu rais wa zaire.jamaa alijuta mno kukataa
 
Nimemsikia sana ila simfahamu
Wale jamaa wanajuana na watu wengi mno mfano fally hua anataja mpaka watu wa abidjan
Ila ninayemjua ni andre kimbuta ambaye ni gavana wa jiji la kinshasa
[emoji106]
 
Kongolu alikufa na deni langu kubwa, nilimuuzia dhahabu zaidi ya milion mia nane, mpaka sasa kama sio vita nilikuwa niwe kama Mengi ahaaaa
Mkuu ya kweli hayo ? Mbona hujamdai mke wake mpaka sasa yupo
 
  • Thanks
Reactions: amu
Na huyu Adam Bombole,Jb anapenda sana kumtaja
Pana wimbo inaitwa Recto verso kaimbwa Adam bombole hata katika OMBA pana sehemu anaimba "soki nazalaki lokola Adam bombole soki nazalaki lokola Andrew kimbuta soki nazalaki president patchel nde natongelayo chateau na ville monaco.kifupi anasema angekuwa na pesa kama watu hao basi angemjengea jumba katika jiji la monaco.
 
Back
Top Bottom