Mjue Slimthickleilah, mwanamke mwenye shepu bomba kuliko wote Africa

Mjue Slimthickleilah, mwanamke mwenye shepu bomba kuliko wote Africa

Naona huyu ni chipukiz ila kwa promo hii tumtegemee kumuona anga za kina Poshqueen
 
Mkuu kitu kizuri huwa kinaonekana tu...kama unasifa zako kali kumzidi siwezi kukubania...unfortunately humu tunatumia fake id but tungekuwa tunatumia majina halisi ngechungulia hata account yako ig nikupe credits zako kama unastahili...mbona huyu sijamsifia sura sababu meona sura ni wakawaida but shape mashalllah
Mkuu, haya ana shape nzuri Africa nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdangaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nenda ukadanguliwe

mpuuzi mpuuzi tu
 
Back
Top Bottom