Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Katika maisha yangu hapa duniani hakuna kitu kinachonichanganya kama imani za dini!
 
The world its all fixed for their deeds!!Aise Duni hii,tunaishi tu kwa sababu ya Mungu ametka tuishi...nilikuwa najua kuhusu the cult world kuna kitabu nilikisoma abt them.pia wameshawah kupanga zaidi ya mashambulizi kadhaa ya ugaidi,in fact they control the world.
 
Ukweli ni kuwa Jesuit father's website yao iko wazi. Kazi zao zipo wazi search utawapata. Unataka ukweli upi ? www jesuits.org/worldwide
Sasa kama mambo yao yapo wazi, mbona mtoa mada anasema mambo yao yanafanywa kwa siri kubwa?
 
Mkuu nimekuelewa,je ndio ile ajenda ya dunia inayomfanya Nabii ISSA (Jesus) kuiitwa Mungu wakati hakuna sehemu hata moja iliyoandikwa kuwa yeye ni Mungu?je kuna uhusiano wowote na hizi dini zetu za. Kikristo na kiyahudi?zipo ktk kundi hili unaloongelea?
 
Hakuna lolote kama walishindwa kufanya dunia iwe under one gvt miaka ya 1700-1900 kipondi ambacho utandawazi haupo ,watu ni wachache,watu ni wajinga wataweza sasa hv kwenye kizazi hiki.
Pole mkuu kizazi hiki kinaweka mpaka makalio ya bandia wakati Ni ubunifu wa hao hao Illuminat kina ujanja gani[emoji3525]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah hawa watu nimepata taarifa zao wanae pesa nyingi kinoma utajiri unaofikia $500 trillion sio watu wazuri wanampinga mungu•
Kuwa na utajiri ndo kumpinga Mungu?????
Embu nitumie link uliposoma?
 
Yeah hawa watu nimepata taarifa zao wanae pesa nyingi kinoma utajiri unaofikia $500 trillion sio watu wazuri wanampinga mungu•
Chaajabu nikwamba kanisa halina
pesa .
Kanisa haliamini pesa maana pesa zikibadilishwa. Unahasara kanisa linaamini
Gold (Dhahabu)
Gusa hapa uonehttps://https-www-jamiiforums-com.0.freebasics.com/threads/vatican-inamiliki-dunia.1528092/unread?iorg_service_id_internal=925946837445621%3BAfrLd7erks42wECR
 
Back
Top Bottom