Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
Hahahahaha.......NAOMBA namba zake NIMPIGIE .......nimuuulize kuhusu UCHAGUZI 2020 utakuwaje.
Hahahahaha
Gusa hapa
Internet.org
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha.......NAOMBA namba zake NIMPIGIE .......nimuuulize kuhusu UCHAGUZI 2020 utakuwaje.
Yaani mkuu hii point yako hata mie hua ina ifikirisha sana hivi Mungu huyu anaependa watu wake bado anakaa anaangalia tuu ujinga huu ufanywe kwa watu wakeha ha...
kama ndo hivyo basi huyo mungu hana chake..!!
kama roma ndo wanafanya hayo yote basi hata biblia nazani ni mpango wao,ila sasa wanataka kututoa stage fulani kwenda stage nyengine.
Vipi sasa kwa mungu anaehubiriwa kila siku na hili analifumbia macho..?
Ama anapenda kuona matukio haya wakati anauwezo wa kusaidia..?
Sasa vipi kuhusu Mzee wa Msoga aliye maliza mda wake nae ni Mkatoliki? Mzee wa Ruksa je?.. ...[emoji45]mkuu sio kwasababu ni msabath no ni kwasababu kasema ukweli na kama unaona ni uongo njoo na facts za ku criticize[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]