Misufini Primary school (Songea, nitaimiss sana hii shule, pale kwa mfaranyaki, mwalimu wangu wa darasa, darasa la 3 alikuwa anaitwa Kimanda, used to like the woman, then kulikuwa na Komeka, Hayati Madanyira, nilikuwa kipanga kweli kweli)
Mzumbe secondary school (Kipindi hicho ilikuwa vipaji maalumu kweli, kila mwaka wanaongoza kitaifa both O level and A level, mpinzani wetu mkubwa alikuwa Ilboru, Balehe ikazingua, nikatimuliwa form 3, familia wakafanya mishe wakabadili kufukuzwa ikawekwa uhamisho-Moja ya utukutu wangu ulikuwa kwenda kuchungulia madada wa chuo cha mzumbe mabwenini wanapokuwa vyumbani, especially wanapotoka kuoga, kuna siku nilikamatwa na walinzi, ilikuwa balaa)
Azania Secondary School (Nikatulia, nikatoka na one yangu nzuri kabisa)
Tambaza High School to Mlimani