Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule zote hizo, hapa ubashite unakuhusu!Tag jina la shule uliyosoma secondary na primary.
1. Shule ya msingi ngaiti
2. Shule ya msingi chikuyu
3. Shule ya msingi heka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni kikongwe eh!Nawaomba tukutane hapa tuliomaliza form four katika sekondari ya Mpechi-Njombe mwaka 1996
Kumbe ni kikongwe eh!
Mwananyamala KisiwaniTag jina la shule uliyosoma secondary na primary.
1. Shule ya msingi ngaiti
2. Shule ya msingi chikuyu
3. Shule ya msingi heka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hillcrest Bado ipo kweli!?
Ipi??Saint mary's 2008
Wewe ndiyo ulikuwa ujamaa na kukimbilia SudanMor sec
Same sec
St Anthony sec mbagala
Mazengo high school- combination PGM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr lujegi VP mzee wa biosWale wa Mwanza SekondarI School na jirani zetu Pamba Sec
Enzi za Marehemu Mkono
Kwiro mlikuwa watukutu mkaletewa mkuu wa shule mwezi mmoja Tu mkamgomeashule yetu nzuri apa kwiro ,, kwa mola twaiombea baraka,, endeleza aisee[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtera nasikia alikuwa mbabe anatembea na fimbo kwenye pikipiki ile setmila Tu ikitiki anarudi bakora zinatembea