Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Story nzuri yenye mwisho unaosikitisha.
 
Wasafi Primary School


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dhaaaaa aiseee nimekuta nasoma kwa makinii.

Samahani lakini vipi na swala la mzee alijua,kuwa ulienda u.k kipindi hichoo.

Na vipi ulivyo rudii ilikuwaje kwa wazazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kibaha sec ulikuwa unakaa dom gani scandia au yale ya juuu?mkuu uliyemkula mtoto wake ni huyu mwampaja au msaki?
 
Dhaaaaa aiseee nimekuta nasoma kwa makinii.

Samahani lakini vipi na swala la mzee alijua,kuwa ulienda u.k kipindi hichoo.

Na vipi ulivyo rudii ilikuwaje kwa wazazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kufukuzwa tena shule Advance
Niliogopa kurudi home maana Baba alikuwa mkali sanaa na hapo Siyo siri ALINICHOKA kwa visa vyangu.
Nikaona isiwe kesi ikabidi Nitoroke Tu.
Kimya pasipo kwenda home.
Hiyo ilikuwa nakumbuka 1987 Mwishoni.
Nikaja kurudi home 2005 Mwanzoni.


So hakujua nipo wapi kipindi chote.

Niiporudi Nguvu ya Pesa Iliwafanya wanyong'onyee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…