Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Mimi nawatafuta waliosoma Eckenforde Secondary School pale Tanga kuanzia 1999 mpaka 2002.
Kuna mdada mmoja alikuwa anaitwa Lina, nadhani alikuwa anatokea Dar, alikuwa mweupe sana kama mzungu hivi. Huyu nadhani alihama tulipokuwa form one.
Mdada mwingine alikuwa anaitwa Hidaya Ufuzo, jina la pili sina uhakika. Alikuwa anatokea Zanzibar nadhani. Alikuwa mnene hivi maji ya kunde. Huyu nakumbuka tulipokuwa form two mwaka 2000, alihama.
Kama mpo humu, tafadhalini nawatafuta sana classmates wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And you are the truth teller
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…