Mi na ndg zangu Mjomba wetu alitunyima mirathi ya Bibi yetu kisa tu eti Mama yetu alifariki kabla Bibi hajafariki, ndg wakasema kisheria ya kiislamu ni kua mama yetu kakimbia Urithi wake kwa kufa mapema kabla Bibi hajafa!!Mjukuu Anaweza kabisa kupata gawio la mirathi kwa kupitia wazazi wake hata kama wamefariki kabla ya babu na Bibi.
Na mi mjomba wangu alisema hivyo hivyo, yeye kamfuta mama yangu kwenye Urithi, na mimi sasa hivi nimemfuta mjomba kwenye undugu, hata akinipiga kizinga huwa namtosa mazima hadi kajistukia kua tusha mfungia vioo kitambo sana!!Hakuna kitu kama hicho, mama yake alipokufa kabla ya wazazi wakati automatically urithi wake ulifutika, watarithi watoto kama wapo na sio wajukuu
Hakukosea, lakini kuna njia nyingi za ku-defeat maamuzi hayo kutokana na sababu mbalimbali na ukiweza kuzi-prove.Mi na ndg zangu Mjomba wetu alitunyima mirathi ya Bibi yetu kisa tu eti Mama yetu alifariki kabla Bibi hajafariki, ndg wakasema kisheria ya kiislamu ni kua mama yetu kakimbia Urithi wake kwa kufa mapema kabla Bibi hajafa!!
Hakuna sababu katika Uislam itaizidi Qur'an. Labda uoneshe kwa ushahidi unaokubalika Kiislam kuwa marehemu hakuwa Muislam (aliritadi).Hakukosea, lakini kuna njia nyingi za ku-defeat maamuzi hayo kutokana na sababu mbalimbali na ukiweza kuzi-prove.
Sawa kabisa, Mwenye kurithi ni mama yenu, siyo marehemu mama yenu.Mi na ndg zangu Mjomba wetu alitunyima mirathi ya Bibi yetu kisa tu eti Mama yetu alifariki kabla Bibi hajafariki, ndg wakasema kisheria ya kiislamu ni kua mama yetu kakimbia Urithi wake kwa kufa mapema kabla Bibi hajafa!!
Sawa Mama ni Marehemu, lakini watoto wake bado tuko hai, kwa nini wasitupe fungu la Mama yetu!? Au Mama akifa na undugu nao unakufa ndiyo maana mirathi haitutambui!?Sawa kabisa, Mwenye kurithi ni mama yenu, siyo marehemu mama yenu.
Ni Muislamu au vipi?Mimi Nina Rafiki yangu amefarikiwa na mama yake muda mrefu sasa na babu na bibi yake pia wamefariki karibuni vip anaweza pata miradhi kwa kupitia mama yake, Babu na bibi hawakuacha maandishi yoyote.
Mama yenu na bibi yenu nani alikufa kwanza?Sawa Mama ni Marehemu, lakini watoto wake bado tuko hai, kwa nini wasitupe fungu la Mama yetu!? Au Mama akifa na undugu nao unakufa ndiyo maana mirathi haitutambui!?
Alitangulia Mama ndiyo tukaambiwa na mjomba kua hatuna chetu maana Mama yetu kufa kabla ya Bibi inamaana kakimbia Urithi yeye mwenyewe, lakini Bibi yetu alisema hizi ni mali za watoto wangu na wajukuu wangu, lakini Bibi alipofariki mjomba akatuguweka, ndugu zangu wakasema tumburuze mjomba mahakamani nikawaambia tuaachane nae na sisi tumtenge kiaina hata akilia shida kila mtu ajifanye nae ana shida apambane na hali yake mwenyewe!!Mama yenu na bibi yenu nani alikufa kwanza?
Kama. Alikufa kwanza mama yenu, basi hana fungu lw mirathi. Mirathi haimuhusu kabisa yeye.
Kama alikufa kwanza bibi yenu basi fungu la mirathi linamuhusu mama yenu.
Nani alitangulia kufa, bibi au mama yenu?
Mama yenu na bibi yenu nani alikufa kwanza?Sawa Mama ni Marehemu, lakini watoto wake bado tuko hai, kwa nini wasitupe fungu la Mama yetu!? Au Mama akifa na undugu nao unakufa ndiyo maana mirathi haitutambui!?
Bibi yako hajafanya kosa kusema hizo ni mali za wanawe, kwa maana wazazi wote ndiyo tubavyoomba, tutangulie sisi watoto zetu waturithi. Kwa kudra za Mwenyezi Mubgu akatangulia mwanae kabla yake. Kwa hiyo mali inabaki kuwa ya wanawe aaliopo siyo wajukuu zake.Alitangulia Mama ndiyo tukaambiwa na mjomba kua hatuna chetu maana Mama yetu kufa kabla ya Bibi inamaana kakimbia Urithi yeye mwenyewe, lakini Bibi yetu alisema hizi ni mali za watoto wangu na wajukuu wangu, lakini Bibi alipofariki mjomba akatuguweka, ndugu zangu wakasema tumburuze mjomba mahakamani nikawaambia tuaachane nae na sisi tumtenge kiaina hata akilia shida kila mtu ajifanye nae ana shida apambane na hali yake mwenyewe!!
Kumbuka ile kauli ya Bibi akiwa hai ya kusema kua hizi mali za watoto na wajuku zangu,huo ni wosia tayari,maana bibi aliyasema hayo akijua kabisa kesha mzika mwanawe na mwanawe ana watoto kaacha!!Mama yenu na bibi yenu nani alikufa kwanza?
Kama. Alikufa kwanza mama yenu, basi hana fungu lw mirathi. Mirathi haimuhusu kabisa yeye.
Kama alikufa kwanza bibi yenu basi fungu la mirqthhininwmuhusu mqmq yenu.
Bibi yako hajafanya kosa kusema hizo ni mali za wanawe, kwa maana wazazi wote ndiyo tubavyoomba, tutangulie sisi watoto zetu waturithi. Kwa kudra za Mwenyezi Mubgu akatangulia mwanae kabla yake. Kwa hiyo mali inabaki kuwa ya wanawe aaliopo siyo wajukuu zake.
Hapo hakuna chenu.
Ingekuwa mali ya mama yenu si bibi yenu angewapa wakati yupo hai?
. Hapo ondoweni tamaa, hakuna chenu. Hata mkishitaki wapi, hamtoshinda kesi. Mjombaenu yupo sahihi.
Hilo kwa mujibu wa sheria za mirathi Kiislam.
Hakuna wosia hapo.Kumbuka ile kauli ya Bibi akiwa hai ya kusema kua hizi mali za watoto na wajuku zangu,huo ni wosia tayari,maana bibi aliyasema hayo akijua kabisa kesha mzika mwanawe na mwanawe ana watoto kaacha!!
Lakini kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania haki tunayo,lakini kwa mujibu wa tamaduni za mwarabu ndiyo hatuna haki wajukuu!!Hakuna wosia hapo.
Hayo ni maneno ya kila siku ya wazazi.
. Wacheni tamaa, wajukuu hamna chenu hapo.
Hii ni lugha ya kitapeli umetumia,mahakamani unafungwa wwe!!Sawa kabisa, Mwenye kurithi ni mama yenu, siyo marehemu mama yenu.
AnapataMimi Nina Rafiki yangu amefarikiwa na mama yake muda mrefu sasa na babu na bibi yake pia wamefariki karibuni vip anaweza pata miradhi kwa kupitia mama yake, Babu na bibi hawakuacha maandishi yoyote.
Ukweli siku zote ni mchungu, ipelekeni kesi yenu mahakamani, kama hamjalipa gharama zote za mahakama na za mnazowashitaki.Hii ni lugha ya kitapeli umetumia,mahakamani unafungwa wwe!!
Labda babu na bibi hawakuwa na watoto wengine wakuwarithi au siyo Waislam.Mimi Nina Rafiki yangu amefarikiwa na mama yake muda mrefu sasa na babu na bibi yake pia wamefariki karibuni vip anaweza pata miradhi kwa kupitia mama yake, Babu na bibi hawakuacha maandishi yoyote.
Labda babu na bibi hawakuwa na watoto wengine wakuwarithi au siyo Waislam.Anapata