Mjukuu wa Bakhresa, Zayed aonesha jumba lake la Kifahari! Pesa Inaongea

Sawa tumeona,ngoja na sie huku tuendelee kuzichonga,ili wajukuu zetu waje wafaidi matunda yetu...
 
Hiyo nyumba ni ya Bakhresa Wala usijipe presha kwamba ni ya huyo dogo.
Kibongo bongo ni ''jumba''. Lakini kiuhalisia hiyo ni nyumba ya kawaida sana ukifananisha na thamani ya nyumba walizonazo matajiri na familia zao duniani.
 
Hiyo nyumba ni ya Bakhresa Wala usijipe presha kwamba ni ya huyo dogo.
Ipo siku atakufa tu na mali ataziacha.
Baadhi ya threads kabla hujacoment inabidi utathimini na Hali Yako ya uchumi, nilichogundua Hali ya mtu ya kiuchumi inaweza tumikisha ubongo wake useme kinyume na vile ubongo ungepaswa kusema kama muhisika angekuwa vizuri kiuchumi,,, mi nikiwa na changamoto za kiuchumi baadhi ya threads Huwa naskip, unaweza jikuta unawalaani matajiri kumbe ndio waliobarikiwa ,na wewe ndio umelaaniwa ,




Pongeza ,ukishindwa pita kimyakimya
 
Hiyo nyumba ni ya Bakhresa Wala usijipe presha kwamba ni ya huyo dogo.
Bakhresa mwenyewe mtu simple wala hana makuu.

Mzee wangu alikuwa anamu admire sana kwa hii quality wakati wakifanya biashara pamoja.

Kuna siku alienda Uswizi kwenye benki moja, mfanyakazi wa benki alikuwa anamzuia asiingie ndani kwa sababu alionekana kama mzee mzee wa Kiafrika tu kavaa makanzukanzu, msumbufu.

Baadaye meneja wa benki alipokuja kumjua huyu ntu ni nani alimuomba msamaha sana. Bakhresa akawa hana neno.

Huwezi kumkuta mwenye mali mwenyewe anajigamba. Ni mtu mmoja very humble.

Ila hivi vijukuu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…