Mjukuu wa Bakhresa, Zayed aonesha jumba lake la Kifahari! Pesa Inaongea

Mjukuu wa Bakhresa, Zayed aonesha jumba lake la Kifahari! Pesa Inaongea

Kua mjuku wa bakharesa kua na masion sio stori kabisa, ange tuonyesha biashara kuliko ya babu yake ndo tutamuamini........
Labda baada ya miaka 30 kama babu yake alikoanza miaka ile ya 50
Au kama ataingia kwenye AI na mambo ya technology huenda akawapita kwa mda mchache tena sio Bongo
Hela lazima atakuwa nazo tu ila sio kwa mda mfupi kama atakuwa na biashara kama za Babu

Mungu amuongezee kila anaetafuta riziki kwa halali
 
Back
Top Bottom