- Thread starter
- #21
Nani Mchokozi,Palestina anamchokonoa Israel kisha anaomba huruma.
1. Wewe hujui kuwa Palestina inadai uhuru wake?
2. Kwa hiyo mkoloni na mtawaliwa, mchokozi Kumbe nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani Mchokozi,Palestina anamchokonoa Israel kisha anaomba huruma.
Palestina amepigiwa kura leo baada ya kuomba kujiunga na umoja wa mataifa UN na amepata kura za Ndio zaidi ya 1391. Wewe hujui kuwa Palestina inadai uhuru wake?
View attachment 2988346
2. Kwa hiyo mkoloni na mtawaliwa, mchokozi Kumbe nani?
Bro mimi si peani hoja na vichaa Weka mfano dhahiri tuzungumze.
Palestina ni Taifa huru same to Israel sasa sijui nan katawaliwa hapo.
Palestina amepigiwa kura leo baada ya kuomba kujiunga na umoja wa mataifa UN na amepata kura za Ndio zaidi ya 139
Bado mnasema Palestina Insta wakiwa na Israel?
Anabendela yake kabisa na Mpaka ya nchi yake inajulikana bado huelewi nin?
Acha na Kibangu hicho Mandela ni moja kati wa watu walio irudisha nyuma SA.
Mpaka sasa bado ni nchi ya Kibaguzi.
HiI1. Ulisikia Tanzania au taifa jingine lolote linapigiwa kura hivi UN? Kwa Nini Palestina?
2. Haya ya Slovania nayo kwa nchi nyingine nayo uliwahi kuyasikia? Kwa nini Palestina?
View attachment 2988367
3. Kwa hiyo unadhani hawa wanaofanya jitihada atambuliwe kuwa taifa huru ni wajinga ila wewe?
View attachment 2988368
4. Kuna na hili la Mandela uhuru wa Palestina:
View attachment 2988369
5. Labda unajua ilipata uhuru lini ndugu?
6. Mandela Kwa kutambua mchango wake alipata hadi zawadi ya nobeli na dunia ina mtambua mchango wake SA na duniani, ila wewe unadhani u Bora kuliko yeye?
7. Labda unadhani wangekutambua wewe kuliko Mandela ingekuwa Bora zaidi?
8. Hudhani huu wako unaweza kuwa ni ugonjwa kama wa MK254, tu ndugu?
Palestina ilipata uhuru Mwaka 1988 Nov 15 ,Hizo juu ni takataka kaka umeandika naweza kukunadikia madude e kama hayo ukakimbia1. Ulisikia Tanzania au taifa jingine lolote linapigiwa kura hivi UN? Kwa Nini Palestina?
2. Haya ya Slovania nayo kwa nchi nyingine nayo uliwahi kuyasikia? Kwa nini Palestina?
View attachment 2988367
3. Kwa hiyo unadhani hawa wanaofanya jitihada atambuliwe kuwa taifa huru ni wajinga ila wewe?
View attachment 2988368
4. Kuna na hili la Mandela uhuru wa Palestina:
View attachment 2988369
5. Labda unajua ilipata uhuru lini ndugu?
6. Mandela Kwa kutambua mchango wake alipata hadi zawadi ya nobeli na dunia ina mtambua mchango wake SA na duniani, ila wewe unadhani u Bora kuliko yeye?
7. Labda unadhani wangekutambua wewe kuliko Mandela ingekuwa Bora zaidi?
8. Hudhani huu wako unaweza kuwa ni ugonjwa kama wa MK254, tu ndugu? takataka ndigu, Palestina
Palestina ilipata uhuru Mwaka 1988 Nov 15 ,
Hizo juu ni takataka kaka umeandika naweza kukunadikia madude e kama hayo ukakimbia
Uislamu ni dini ya hovyo. Ndiyo maana haiwezi kuishi pamoja na watu wenye mataifa mengine.Suala siyo kuandamana, suala ni Israel na Palestinians wakubali kuishi pamoja , makabila 2 yanashindwa je kuishi pamoja? Au nyuma ya pazia kuna ajenda za siri? Pro Israel hawaoni athari za vita ambavyo vimeua watoto na wanawake wa kipalestina, pro hamas wanatamani kuona Israel inaangamia na kufutika kwenye uso wa dunia . Bila Palestinians leaders na Israel leaders kukaa pamoja na kuukubali ukweli kubwa wote tunahitajiana kuleta amani ya wayahudi na wapalestina, amani haitapatikana, pale ni dini ndio zinasababisha vita kati ya msimamo ya kiislamu na misimamo ya kiyahudi.
Uislamu ni dini ya hovyo. Ndiyo maana haiwezi kuishi pamoja na watu wenye mataifa mengine.
Kuna haja gani ya kuishi na mtu anayefikiria kuchapa watu wanaokula mchana?
Mandela Siyo Malaika au Mungu kwamba Kila anachosupport ni sahihi hata akiwaunga mkono Al Qaeda ni sawa tu1. Huu ndiyo ulio ukweli mchungu wenye kuakisiwa vyema nyuma ya jitihada zote za Afrika Kusini hadi ICJ huko dhidi ya Israel.
2. Kwamba kuna mpenda haki wapi kwetu aliyebakia CCM, CHADEMA, ACT, UDSM au wapi wa aina ya mjukuu huyu wa Mandela?
View attachment 2988004
3. Kwamba nani anaweza kuthubutu kwa na hakika kusema Nyerere angesema nini? Kwani haijulikani au ni unafiki, umbumbumbu, ujuha, ushabiki, uchawa, na vya namna hiyo tu, uliowajaa watu hadi kina makongorosi huko kiasi cha kutokuwa na dira wala mwelekeo?
View attachment 2988012
4. Kwani Nyerere, Mandela, Castro, Tutu, Che Guevara, Mtikila, Maalim Seif, Chavez, Gaddafi nk au wa namna hiyo walikuwa na nini spesheli ambacho wengine wameshindwa kujitanabaisha navyo? Si kuwa walikuwa wenye kuendeshwa kwa nguvu za hoja?
View attachment 2988028
5. Kwamba mambo sisi, si ni ushabiki na mihemko tu? Hivi hadi aseme nani ndipo tugutuke ya kuwa kwa hakika tumepotea njia; na kuwa tuliko na tuendako si kwenyewe?
View attachment 2988030
6. Kwamba hata nyomi tuzionazo duniani kote nyuma ya HAMAS na Palestina si sauti za Mungu tena? Kwamba aje malaika kutokea wapi kutugatua wapi tutoke usingizini? Hivi hata tunajihurumia japo kidogo kuwa ndani ya umbumbumbu huu uliopitiliza mno, tuliomo?
7. Kwamba tumefeli wapi sisi Yarabi? Hivi sisi leo hata tunajuq kama Nyerere angekuwapo hata angesema nini? Ya kwamba hatukumsoma Wala kumwelewa? Ya kwamba aliondoka na yake yote? Na inakuwa jioni inakuwa asubuhi, tuko vizuri; maisha yanaendelea? "No wonder huwa tuko vizuri kugombea mali alizoacha marehemu!"
9. Kwamba mjukuu wa Mandela anajua Babu yake angesema nini, hata leo? Vipi contemporary, watoto, vijana, mabinti, wafuasi; wake, nk? "No wonder Afrika Kusini wanawakilisha wa aina ya kina Shivji, Ulimwengu na wachache mno wenye akili zao waliobakia hapa nchini, ambao pia nao wanaendelea kutoweka!"
9. Bila shaka baada ya kizazi cha kina Shivji na kina Ulimwengu, tutakuwa na "taifa la hovyo proper," kwa tunavyoshindana kuzidiana kuwa hovyo zaidi ya mwingine!
10. Alisema Prof. Chachage: "Babu zetu wakiwamo kina Kinjekitile, Mkwawa, Nyerere, Milambo, Sina, Isike, nk wangefufuka wakatukuta leo tulivyo komaa kuwashadadia mabeberu na wakoloni (wazungu kwa waarabu), watatukataa kuwa sisi si wajukuu zao!"
10. Kwamba wao katika uhai wao walipigana na kutupigania sisi wakipinga kutawaliwa na kwa nguvu zao wakiukataa ukoloni na utumwa? wengi wao hadi kupoteza maisha? Ya kuwa sisi leo ndiyo Hawa?
a) mkoloni na mlowezi ni wawekezaji, wafadhili au wahisani?!
b) Baina yetu tuna Arsenal, Chelsea, Man U, City, Real, Barca, nk; damu?!
c) Tunalazimishwa kwenda Rwanda tukipatikana kutaka hifadhi Uingereza ambako nako haturudi katu, kwa ridhaa zetu?!
d) tumekuwa wafuasi wa dini zao kuliko wao?!
e) Tunagombea kwenda ulaya na arabuni kwenda kuwa hata watumwa; wengine wakifia kwa maelfu baharini?
f) kwamba tumekuwa mabalozi wao hadi wanatushangaa?
g) kwamba tunaona heri tukawe magerezani kwao kuliko kuwa huru nchini?
h) kwamba tunatamani mkoloni angeendelea kuwapo kuliko yaliyotukuta baada ya uhuru?
i) Nk.
11. Kwa hakika washupavu hao (#10) wangesema: "katu sisi siyo wajukuu zao!"
Mandela Siyo Malaika au Mungu kwamba Kila anachosupport ni sahihi hata akiwaunga mkono Al Qaeda ni sawa tu
Kwahiyo Nobel kwako ndiyo kipimo Cha mafanikio na roho nzuri? Kwamba Kila mshindi wa Nobel anageuka Malaika... WTF Hata Abiy Ahmed waziri mkuu wa Ethiopia ana Nobel na amelaumiwa Kwa ukiukaji wa haki za binadamu wakati wa vita na waasi wa Tigray, na Usisahau hata wanaotoa hizo tuzo wako upande wa Israel Siyo upande wa hamas, think beyond nobel1. Kwamba ulipo unadhani wewe buza pale dunia inakuonea kuto-kukuzawadia japo ka-nobeli?!
Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima
2. Kwamba hiyo itakuwa ni akili, au matope?
Kwahiyo Nobel kwako ndiyo kipimo Cha mafanikio na roho nzuri? Kwamba Kila mshindi wa Nobel anageuka Malaika... WTF Hata Abiy Ahmed waziri mkuu wa Ethiopia ana Nobel na amelaumiwa Kwa ukiukaji wa haki za binadamu wakati wa vita na waasi wa Tigray, na Usisahau hata wanaotoa hizo tuzo wako upande wa Israel Siyo upande wa hamas, think beyond nobel
Ndiyo maana nikasema think beyond Nobel.. kama huelewi Siyo shida zangu endelea kuwaunga mkono hamas one day watakukomboa kifikra1. Wapi nimesema neno Malaika? Usiniwekee maneno mdomoni ndugu.
2. Nisome vyema:
"Huna nobeli wewe. Huna lolote la kumzidi mwenye nobeli katika dunia hii!"
3. Kwa msisitizo zaidi ni kuwa, huna nobeli, kwa mwenye nayo wewe ni mbuzi meme tu ndugu!
4. Zingatia Nobel laureates ni aina za kina Obama, Mandela na Tutu. Siyo kina Nyerere, Xi, Bush, Benedicto wala kina Clinton.
5. Ukweli mchungu una nini wewe duniani humu ndugu kuwazidi hao? Labda ujinga!
6. Kulaumiwa? Wanalaumiwa HAMAS wakipigania ardhi yao.
7. Fundweni heshima:
Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima
Ndiyo maana nikasema think beyond Nobel.. kama huelewi Siyo shida zangu endelea kuwaunga mkono hamas one day watakukomboa kifikra
Mbowe anahusikaje kwenye hii topic😁😅😅acha kukisia vitu ovyo Mimi Siyo fan wa siasa... Na sidhan kama huu mjadala una uhusiano wowote na siasa za Tanzania.. maybe hoja zimeisha take some rest now
Mbowe anahusikaje kwenye hii topic😁😅😅acha kukisia vitu ovyo Mimi Siyo fan wa siasa... Na sidhan kama huu mjadala una uhusiano wowote na siasa za Tanzania.. maybe hoja zimeisha take some rest now