Mjumbe aliyelilia iPad Bungeni huyu hapa!

Badala ya kuomba mafunzo ya ngumi (siku si nyingi zitaanza) yy anataka ipad ukipigwa na ipad yako ikavunjika utaomba serikali ikutengenezee,chukua mafunzo ya kungfu mapema ww achana na wazo la ipad.
 
Hehehe primary gani wanatumia ipad? Hata computer za chogo hatuna wala umeme shuleni hatuna! Mbunge ----- sana
 

Angejua kwanza ni wajumbe wangapi wana uwezo wa kuzitumia hizo tablet! Au ndo yale yale ya kutokutambua jukumu lao hapo bungeni. Hivi hawa wabunge wanafahamu kilichowapeleka Dodoma au wamelazimishwa kwenda huko? Manake toka walipowasili Dodoma hadi leo jumamosi ni siku ya tano hatujasikia jambo lolote kuhusu hiyo katiba zaidi ya madai! Kwa mwendo huu najiuliza, katiba itapatikana kweli????
 
Anataka atafute mawazo ya wana jf wakati bunge linaendelea
 

Kuna ukweli mkubwa sana, badala ya kugawa makabrasha kwa wajumbe wote, taarifa ingewekwa kwenye "Server" au "flash disk" kila mjumbe akapewa na kuipitia kwenye laptop au Ipad
 
Kuna ukweli mkubwa sana, badala ya kugawa makabrasha kwa wajumbe wote, taarifa ingewekwa kwenye "Server" au "flash disk" kila mjumbe akapewa na kuipitia kwenye laptop au Ipad

Kama wanataka si wajinunulie wenyewe!

Hivi mbunge na mwanafunzi ni yupi wa kununuliwa Ipad au Laptop?!
 

Kweli huyo Mwananchi kachaguliwa na Rais kuongelea KATIBA ya NCHI au Uchaguzi wake kwenye hilo BUNGE ni kuongeza Maslahi yake BINAFSI... Pesa wanazolipwa Gharama ya kuwahudumia na Utakuta HILO ndilo litakuwa HOJA YAKE PEKEE KUONGELEA Mpaka KATIBA MPYA inapatikana...

Inaonyesha RAIS wengine amepeleka MARAFIKI kula hizo PESA za NCHI...
 
Okoa misitu tumia iPad ila iwe yako

Halafu kipindi hiki cha technology mtu km huyo kutokuwa na iPad ni ujinga na hata akipewa hatajua kuitumia na isitoshe analipwa hela nyingi anaweza kununua yake
 
Nice mbunge! Huyo wa ccm jimbo la kishapu.ila sio lofa!! Was kushindwa kununua IPad. Ni mmiliki wa kampuni ya usafirishaji ya Mombasa Raha.ttzo letu was tz MTU hata akiwa name hoja ya msingi mnaipuuza
 
Tangu walipoteuliwa wanajiona wako matawi ya juu kushinda hata wananchi.
 
Nice mbunge! Huyo wa ccm jimbo la kishapu.ila sio lofa!! Was kushindwa kununua IPad. Ni mmiliki wa kampuni ya usafirishaji ya Mombasa Raha.ttzo letu was tz MTU hata akiwa name hoja ya msingi mnaipuuza

Hivi hoja ya msingi ni kununua iPad kwa ajili ya wabunge au ni hiyo hela itumike kutengenezea madawati watoto wasikae chini?!

Hivi huoni hiyo ni akili ya Abunuasi?!
 

Hii ndio Id yako ya JF muheshimiwa
 
Kama wanataka si wajinunulie wenyewe!

Hivi mbunge na mwanafunzi ni yupi wa kununuliwa Ipad au Laptop?!

Unapojiandikisha masomo ya "Online" unaambiwa kabisa lazima uwe na "full time internet access". Waombaji wa nafasi za Bunge la katiba walitakiwa waambiwe kabla mojawapo ya kitendea kazi ni "Laptop/ Ipad". kwa kuwa hawakuambiwa serikali ikiingia deal inaweza kupata hizo IPAD si zaidi ya TZs 450,000
 
Hoja yako nini maana ni kama "self diluting"!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…