Mjumbe aliyelilia iPad Bungeni huyu hapa!

Kama vipi wanunuliwe ila wakatwe kwenye posho zao.
 
Analipwa 300,000 per day anashindwa kununua ipad? Shame on him
 
Wabunge wanataka matatizo ya koo zao yatatuliwe na kodi zetu hopeless ,huyu atakuwa mbunge wa ccm tu......Ipad my foot.....@###&!!!!!sshh****
 
Hata congress haitumii ipad.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kuna ukweli mkubwa sana, badala ya kugawa makabrasha kwa wajumbe wote, taarifa ingewekwa kwenye "Server" au "flash disk" kila mjumbe akapewa na kuipitia kwenye laptop au Ipad

Ni kweli hoja ya mbunge wa magamba inayo mantiki tatizo ni kwamba wengi hawajui kuzitumia! Hapa jirani Uganda wabunge wote wamepewa Ipad na ---------- habari zote muhimu kupitia mtandao. Na niliona Ofisi ya Bunge la Uganda wakisema kutokana na matumizi ya mtandao wameweza kuokoa pesa nyingi walizokua kuwa wanatumia kuchapisha makaratasi. --------- unaprint mwenyewe!
 

Huyu hakupelekwa na Rais, ni Mbunge na tena ni mtu mwenye uwezo sana kifedha, ni maarufu sana huyu bwana huko Shinyanga, ni miongoni mwa wafanyabiashara wenye kukubalika huko kwa uwezo aliokuwa nao. Na aliingia alipata huu ubunge kwenye uchaguzi wa 2010
 
Hilo jamaa Lina vihela balaa limeamua Tu kuropoka ili mdomo usinuke Hivi kama wanashida na Ipad SI wanunue kwa posho zao.
 


Oh NO... Ni MBUNGE na hasikiki Mpaka kwenye HILI BUNGE la KATIBA ?

Hili BUNGE lina Umaridadi kweli... MAGARI YAO YAMESHA FIKA TOKA JAPAN ???

Walioandika KATIBA ya KENYA hatukusikia Malipo yao lakini tulijua hawakuzidi 10


c.c
Sword
 
tatuzo wanajazwa ujinga na wabunge wa bunge la jamuhuri yaani wale wa majimbo wengi ndiyo wafia masilahi bila kujali vyama hapa wengi ni wasaka noti tu
 
Halafu bado wanadai waongezewe posho...akitaka alale bila kula na kutokulala hotel kwa mda wa siku tano ndo ataweza kuipata...nyambafuuuuu..
 
haya ndo matatizo ya kuchagua wajumbe wenye njaa. wanatumia bunge la katiba kumaliza matatizo yao, mwisho utakuja sikia wanataka pampasi kwa ajiri ya kuvisha watoto wao.
 
Hivi ni mbunge?Na kama ndio,ni wa chama gani?

Bahati mbaya kwenye gazeti hawajasema kama ni mbunge au laa.

sina hakika kama umeshajibiwa hili nitakujibu kama ifuatavyo:
SULEIMAN NCHAMBI NI MBUNGE WA KISHAPU KWA KUCHAGULIWA KWA TIKETI YA CCM. AMEKUWA MBUNGE BAADA YA YULE MZEE ALIYEJIUZULU NA KUANZISHA CHAMA CHA CCJ KISHA KIKAFA AKAJIUNGA CHADEMA NA KUGOMBEA KULE GEREZANI KWA MAKONGORO MAHANGA JINA NIMESAHAU (hapa si bure nimerogwa,haiwezekani nisahau jina la huyu mzee-----yaaaah MPENDAZOE yes!!!!) SULEIMAN NCHAMBI ANA ASILI YA KIARABU NA NI MOJAWAPO YA WAMILIKI WA MABASI YA MOMBASA RAHA YANAYOFANYA SAFARI ZAKE MWANZA-SHINYANGA NA KWINGINEKO-(yamebaki mifupa lakini yako barabarani)MABASI HAYO WAMECHANGIA NA DADAKE ALIYEOLEWA KULE MOMBASA(nyepesi nyepesi ni kwamba waligawana baada ya jamaa kuingia kwenye siasa-sina uhakika na hilo) KIUKWELI SINA HAKIKA KAMA ALIMALIZA HATA FORM TWO-(kama kawaida ya watu wetu wa kijani)

hapo upo bwana kamshahara? nasubiri matusi ya team lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…