ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
atahitaji tuition ya namna ya kuitumia
Kwahyo ili waongeze siku za kutafuna wakipewa tuition.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atahitaji tuition ya namna ya kuitumia
Nilijua tu atakuwa wa chama cha magamba.
Kweli huu uko wa panya!
Ndugu hata mimi sijui.KUULIZA si UJINGA MKUU , HIVI NCHAMBI NI MSUKUMA AU MNYAMWEZI ?
Ninachojua Nchambi alishawahi kuwa N.W, mengine sijui kabisa na sina haja ya kujua.
hilo neno!!! itabidi waende kozi!...wanajua kuzitumia?
kwa hiyo waongezwe muda wa bungehilo neno!!! itabidi waende kozi!
Kuna ukweli mkubwa sana, badala ya kugawa makabrasha kwa wajumbe wote, taarifa ingewekwa kwenye "Server" au "flash disk" kila mjumbe akapewa na kuipitia kwenye laptop au Ipad
Kweli huyo Mwananchi kachaguliwa na Rais kuongelea KATIBA ya NCHI au Uchaguzi wake kwenye hilo BUNGE ni kuongeza Maslahi yake BINAFSI... Pesa wanazolipwa Gharama ya kuwahudumia na Utakuta HILO ndilo litakuwa HOJA YAKE PEKEE KUONGELEA Mpaka KATIBA MPYA inapatikana...
Inaonyesha RAIS wengine amepeleka MARAFIKI kula hizo PESA za NCHI...
Huyu hakupelekwa na Rais, ni Mbunge na tena ni mtu mwenye uwezo sana kifedha, ni maarufu sana huyu bwana huko Shinyanga, ni miongoni mwa wafanyabiashara wenye kukubalika huko kwa uwezo aliokuwa nao. Na aliingia alipata huu ubunge kwenye uchaguzi wa 2010
Halafu bado wanadai waongezewe posho...akitaka alale bila kula na kutokulala hotel kwa mda wa siku tano ndo ataweza kuipata...nyambafuuuuu..Mjumbe wa Bunge la katiba alielilia Ipad Bungeni amefahamika kwa jina la Suleiman Nchambi na hii ndio kauli yake.Ninamnukuu kama ifuatavyo;
"Dunia ya sasa imegubikwa na utandawazi ambao kuanzia shule za msingi wanatumia Laptop,sasa ningependa Ipad, ilikupunguza gharama zinazotumika na Bunge kuchapisha nyaraka mbali mbali".
"Lazima wanafunzi wa shule na vyuo wajifunze kutoka kwetu,sasa wanatushangaa tukiendelea kutumia utaratibu huu wa kugawiana makaratasi yenye nyaraka litakuwa jambo la kusikitisha,nina imani tukipatiwa vifaa hivyo watendaji watakuwa wanatutumia ujumbe wa taarifa tunazopaswa kujadili au kazi tulizopangiwa kufanya," alisema.
Hata hivyo,mwenyekiti wa muda wa Bunge hilo,mh.Kificho alipinga wazo hilo kwa maelezo kuwa utaratibu huo ni wa gharama zaidi.
CHANZO:Tanzania Daima
Hivi ni mbunge?Na kama ndio,ni wa chama gani?
Bahati mbaya kwenye gazeti hawajasema kama ni mbunge au laa.