Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Si ana wajukuu!
We vipi?!
Anahoja ila,,
Mjumbe wa Bunge la katiba alielilia Ipad Bungeni amefahamika kwa jina la Suleiman Nchambi na hii ndio kauli yake.Ninamnukuu kama ifuatavyo;
"Dunia ya sasa imegubikwa na utandawazi ambao kuanzia shule za msingi wanatumia Laptop,sasa ningependa Ipad, ilikupunguza gharama zinazotumika na Bunge kuchapisha nyaraka mbali mbali".
"Lazima wanafunzi wa shule na vyuo wajifunze kutoka kwetu,sasa wanatushangaa tukiendelea kutumia utaratibu huu wa kugawiana makaratasi yenye nyaraka litakuwa jambo la kusikitisha,nina imani tukipatiwa vifaa hivyo watendaji watakuwa wanatutumia ujumbe wa taarifa tunazopaswa kujadili au kazi tulizopangiwa kufanya," alisema.
Hata hivyo,mwenyekiti wa muda wa Bunge hilo,mh.Kificho alipinga wazo hilo kwa maelezo kuwa utaratibu huo ni wa gharama zaidi.
CHANZO:Tanzania Daima
Acha UhuniiiiiiAnataka tu kuangalizia porno...
hilo neno!!! itabidi waende kozi!
...wanajua kuzitumia?
Huyu Mbunge wa Kishapu (CCM),anaishi Shinyanga mjini! Majuzi,vyombo vya habari vilimnuku akidai,fedha wanazolipwa,ni ndogo,wakati kazi watakayoifanya ni kubwa kuliko waliyoifanya akina Warioba!Hoja hojaaa mmh! lazima anataka awe anaangalia picha za ngono bungeni. Naamini kabisa kwamba kama hadi leo hana ipad, basi hajawahi kuitumia.
Akisha pewa sasa ataanza omba pesa za mafunzo ya jinsi ya kuitumia.
...wanajua kuzitumia?
Huyu Mbunge wa Kishapu (CCM),anaishi Shinyanga mjini! Majuzi,vyombo vya habari vilimnuku akidai,fedha wanazolipwa,ni ndogo,wakati kazi watakayoifanya ni kubwa kuliko waliyoifanya akina Warioba!
Kweli kabisaaaWabunge wanataka matatizo ya koo zao yatatuliwe na kodi zetu hopeless ,huyu atakuwa mbunge wa ccm tu......Ipad my foot.....@###&!!!!!sshh****
KUULIZA si UJINGA MKUU , HIVI NCHAMBI NI MSUKUMA AU MNYAMWEZI ?
I think you are not serious. Unaijua bei ya iPad? Unaijua bei ya karatasi moja likichapushwa kwa wingi ni ipi? (Economies of scale). Tunaongelea ipads zaidi ya 600 hapa!
Hivi ni mbunge?Na kama ndio,ni wa chama gani?
Bahati mbaya kwenye gazeti hawajasema kama ni mbunge au laa.
...wanajua kuzitumia?