Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmh!kwa huo huo muda wa bunge!!watajifunza hapana shaka!
Aaaaaagh wajameni mbona watu hamna adabu? Mada inasema iPad mzee wa Akanana unaleta za mauaji...!?kimsingi kuna mantiki ktk mapendekezo yake..unajua karatasi zinagharama gani..kuna mabuku mengi huwa wanagawiwa hawa jamaa ktk vikao vyao...ili kusevu hela za walipa kodi ni bora wawe wana sevu kwenye ipad au laptop zao na wakati mwingine wasevu kwa kutumia Online data storage kama Cloud n.k. So basically Nchambi is right when it comes into money and time saving...
kwanini asingeenda na yake
Hivi ni mbunge?Na kama ndio,ni wa chama gani?
Bahati mbaya kwenye gazeti hawajasema kama ni mbunge au laa.
Ninachojua Nchambi alishawahi kuwa N.W, mengine sijui kabisa na sina haja ya kujua.
Ndugu hata mimi sijui.
Huyu sio raia
Ni kweli hili jamaa linahela sana,kwan ni mmoja ya madon wakubwa na wenye nguvu kisiasa ShinyangaHilo jamaa Lina vihela balaa limeamua Tu kuropoka ili mdomo usinuke Hivi kama wanashida na Ipad SI wanunue kwa posho zao.
Naibu waziri? Kumbe kazoea kutumia nafasi anayopata kuiifilisi nchi, bhaaaaaa!
Teh teh teh teeeeeeh! Wapo watu wengi walioteuliwa kwenda mjengoni kwa sababu a nafasi zao atika jamii na wala sio kwa sababu ya weledi wao katika kuchambua mambo. Anaweza kuwa na pesa nyingi sana lakini hata jina lake hajui kuandika, signature anatia dole gumba lakini anajua kuhesabu hela yake wala usifikirie kumwibia.Aaaaah! Hajawahi kuwa NW! Hata shule,sidhani kama alimaliza 'O' level pale Buluba Sec. Shinyanga mjini! Kwa wiki,alikuwa akijitahidi saaaaana,basi anaweza kuwa amehudhuria siku tatu!