Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hahah wanalainisha njia sondioMnaanza kuandaliwa
Ndio maanq bara la Afrika lipo nyuma. Wenye akili wanarudishwa nyuma ili wasiwafungue watu macho. Nirudie maneno ya professor Lumumba wa Kenya "Ina Afrika we elect fools to the office ".Buluba Mabelele, MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA amesema; “Mimi Nipo Upande wa Tundu Lissu, aachiwe huru arudi uraiani haitufundishi mahakama kufanya kazi yake lakini hili suala la Lissu linachafua sana kama Taifa”
Huyu jamaa awe makiniMjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani kuona anaachiwa huru ili arejee kwenye maisha ya kawaida ya uraiani.
Buluba amebainisha kuwa nchi inamhitaji Lissu, na iwapo kuna masuala ya kisheria yanayomkabili, basi ni vyema mahakama ikatoa uamuzi na hukumu stahiki ili kuondoa sintofahamu iliyopo sasa.
Aidha, Buluba amesisitiza kuwa msimamo wake huo haulengi kuingilia au kuifundisha mahakama jinsi ya kutekeleza majukumu yake ya kutoa haki. Hata hivyo, ameweka wazi kuwa kuendelea kuwepo kwa suala hilo bila utatuzi wa mwisho kunaathiri taswira ya nchi, akisema kuwa jambo hilo linaichafua sana Tanzania kama Taifa, hivyo kuna haja ya mamlaka husika kuliangazia upya ili lipatiwe ufumbuzi wa haraka.
Naunga mkono hoja!.Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani kuona anaachiwa huru ili arejee kwenye maisha ya kawaida ya uraiani.
Buluba amebainisha kuwa nchi inamhitaji Lissu, na iwapo kuna masuala ya kisheria yanayomkabili, basi ni vyema mahakama ikatoa uamuzi na hukumu stahiki ili kuondoa sintofahamu iliyopo sasa.
Aidha, Buluba amesisitiza kuwa msimamo wake huo haulengi kuingilia au kuifundisha mahakama jinsi ya kutekeleza majukumu yake ya kutoa haki. Hata hivyo, ameweka wazi kuwa kuendelea kuwepo kwa suala hilo bila utatuzi wa mwisho kunaathiri taswira ya nchi, akisema kuwa jambo hilo linaichafua sana Tanzania kama Taifa, hivyo kuna haja ya mamlaka husika kuliangazia upya ili lipatiwe ufumbuzi wa haraka.
Breaking: Mkangaffu ametangaza rasmi kuwa atagombea urais 2040 japo hajaweka wazi kuwa atagombea kupitia chama gani.Bumunda la zenj litamshughulikia huyu!
Sahihi kabisa..Baada ya Uchaguzi Mkuu-2015 nilibahatika kujumuika na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM-Taifa,tena Mwanamke kwenye Sherehe Moja kubwa ya Kijamii pale Morogoro Mjini.Katika kubarizi yaliingia mambo ya Siasa ambayo chanzo kilikuwa ni Siasa za Kenya,kipindi hicho Hayati Odinga amepinga Mahakamani ushindi wa Ruto.Kila kundi la waovu hawakosekani wachache katikati yao wanaokinai uovu na kusema sasa uovu basi na ndiyo anachokifanya huyu.
Ndani ya Mbogamboga watu wenye akili timamu kama huyu mwamba ni wachache sanaMjumbe CCM, Buluba: Mimi nipo upande wa Tundu Lissu aachiwe huru, hili suala linatuchafua sana kama taifa