PostGE2025 Mjumbe CCM, Buluba: Mimi nipo upande wa Tundu Lissu aachiwe huru, hili suala linatuchafua sana kama Taifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani kuona anaachiwa huru ili arejee kwenye maisha ya kawaida ya uraiani.

Buluba amebainisha kuwa nchi inamhitaji Lissu, na iwapo kuna masuala ya kisheria yanayomkabili, basi ni vyema mahakama ikatoa uamuzi na hukumu stahiki ili kuondoa sintofahamu iliyopo sasa.

Aidha, Buluba amesisitiza kuwa msimamo wake huo haulengi kuingilia au kuifundisha mahakama jinsi ya kutekeleza majukumu yake ya kutoa haki. Hata hivyo, ameweka wazi kuwa kuendelea kuwepo kwa suala hilo bila utatuzi wa mwisho kunaathiri taswira ya nchi, akisema kuwa jambo hilo linaichafua sana Tanzania kama Taifa, hivyo kuna haja ya mamlaka husika kuliangazia upya ili lipatiwe ufumbuzi wa haraka.

hatimae wahusika wa kufadhili ghasia za Oct 29 wanaanza kutoa ushuhuda na kujiandalia jumuiko na wahusika wakuu 🐒
 
Tatizo sa100 maupata urais pasipo yeye kutarajia ndiyo maana anaongoza nchi hovyohovyo ikiwa ni pamoja na kuwafunga hovyo watanganyika wenye kujitambua.Anataka tubaki na mazezeta kama wale ndugu zake wapenda ulojo na halua
 
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani kuona anaachiwa huru ili arejee kwenye maisha ya kawaida ya uraiani.

Buluba amebainisha kuwa nchi inamhitaji Lissu, na iwapo kuna masuala ya kisheria yanayomkabili, basi ni vyema mahakama ikatoa uamuzi na hukumu stahiki ili kuondoa sintofahamu iliyopo sasa.

Aidha, Buluba amesisitiza kuwa msimamo wake huo haulengi kuingilia au kuifundisha mahakama jinsi ya kutekeleza majukumu yake ya kutoa haki. Hata hivyo, ameweka wazi kuwa kuendelea kuwepo kwa suala hilo bila utatuzi wa mwisho kunaathiri taswira ya nchi, akisema kuwa jambo hilo linaichafua sana Tanzania kama Taifa, hivyo kuna haja ya mamlaka husika kuliangazia upya ili lipatiwe ufumbuzi wa haraka.

Ccm wenye akili wapo wachache sana warioba na huyu jamaa engine yote mashoga pamoja na wapambe wao.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa. CCM malini wako upande wa lissu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Dahhhh.....
Mwamba Amejitoa Muhanga kusema ya Moyoni.

Bahati mbaya sana Yule mama shetani atafanya kila mbinu
Kutengwa.
Kutekwa.
Kupotezwa.

Mungu amlinde Mtumishi wake.
 
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani kuona anaachiwa huru ili arejee kwenye maisha ya kawaida ya uraiani.

Buluba amebainisha kuwa nchi inamhitaji Lissu, na iwapo kuna masuala ya kisheria yanayomkabili, basi ni vyema mahakama ikatoa uamuzi na hukumu stahiki ili kuondoa sintofahamu iliyopo sasa.

Aidha, Buluba amesisitiza kuwa msimamo wake huo haulengi kuingilia au kuifundisha mahakama jinsi ya kutekeleza majukumu yake ya kutoa haki. Hata hivyo, ameweka wazi kuwa kuendelea kuwepo kwa suala hilo bila utatuzi wa mwisho kunaathiri taswira ya nchi, akisema kuwa jambo hilo linaichafua sana Tanzania kama Taifa, hivyo kuna haja ya mamlaka husika kuliangazia upya ili lipatiwe ufumbuzi wa haraka.

Ikiwa unasema kutoka moyoni wenzio watakuteka,ila ikiwa chawa tutakuona ukidunda na ukiwa na drama za kama mzee Nachoka mie!
 
Back
Top Bottom