hatimae wahusika wa kufadhili ghasia za Oct 29 wanaanza kutoa ushuhuda na kujiandalia jumuiko na wahusika wakuu 🐒Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani kuona anaachiwa huru ili arejee kwenye maisha ya kawaida ya uraiani.
Buluba amebainisha kuwa nchi inamhitaji Lissu, na iwapo kuna masuala ya kisheria yanayomkabili, basi ni vyema mahakama ikatoa uamuzi na hukumu stahiki ili kuondoa sintofahamu iliyopo sasa.
Aidha, Buluba amesisitiza kuwa msimamo wake huo haulengi kuingilia au kuifundisha mahakama jinsi ya kutekeleza majukumu yake ya kutoa haki. Hata hivyo, ameweka wazi kuwa kuendelea kuwepo kwa suala hilo bila utatuzi wa mwisho kunaathiri taswira ya nchi, akisema kuwa jambo hilo linaichafua sana Tanzania kama Taifa, hivyo kuna haja ya mamlaka husika kuliangazia upya ili lipatiwe ufumbuzi wa haraka.
Aka Chura kiziwiBumunda la zenj litamshughulikia huyu!
Ccm wenye akili wapo wachache sana warioba na huyu jamaa engine yote mashoga pamoja na wapambe wao.Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani kuona anaachiwa huru ili arejee kwenye maisha ya kawaida ya uraiani.
Buluba amebainisha kuwa nchi inamhitaji Lissu, na iwapo kuna masuala ya kisheria yanayomkabili, basi ni vyema mahakama ikatoa uamuzi na hukumu stahiki ili kuondoa sintofahamu iliyopo sasa.
Aidha, Buluba amesisitiza kuwa msimamo wake huo haulengi kuingilia au kuifundisha mahakama jinsi ya kutekeleza majukumu yake ya kutoa haki. Hata hivyo, ameweka wazi kuwa kuendelea kuwepo kwa suala hilo bila utatuzi wa mwisho kunaathiri taswira ya nchi, akisema kuwa jambo hilo linaichafua sana Tanzania kama Taifa, hivyo kuna haja ya mamlaka husika kuliangazia upya ili lipatiwe ufumbuzi wa haraka.
Ikiwa unasema kutoka moyoni wenzio watakuteka,ila ikiwa chawa tutakuona ukidunda na ukiwa na drama za kama mzee Nachoka mie!Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani kuona anaachiwa huru ili arejee kwenye maisha ya kawaida ya uraiani.