uhudhurie, usihudhurie ni lazima mazishi yafanyike na maisha mengine ya walio hai yaendelee.Chawa ni kweli Huwa unahudhuria misiba Ili uombe pesa??? Embu thibitisha ndugu chawa.
Huna akili tu. Machadema ovyo Sana.Kama alihusika kwenye operations za kuhujumu NO REFORMS NO ELECTION, basi Mungu ameamua ugomvi.
Kufa ni faida kama uliishi kwa kumtegemea Mungu. Kama uliishi kwa kujiunganisha na wanaoteka na kuua binadamu wenzako au kwa kudhukumu haki za wandamu wenzako, kifo ni hasara kubwa maana ni mwanzo wa kuitumikia hukumu ya Bwana.Imeandikwa,
Kuishi ni Kristo kufa ni Faida
R.I.P comrade Edwin Kasembe 🙏
"kama" ni kiungo cha ubishi gentleman.Kufa ni faida kama uliishi kwa kumtegemea Mungu. Kama uliishi kwa kujiunganisha na wanaoteka na kuua binadamu wenzako au kwa kudhukumu haki za wandamu wenzako, kifo ni hasara kubwa maana ni mwanzo wa kuitumikia hukumu ya Bwana.
Kila mtu atakula, yanini kuleta mtandaoni?Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Masasi, Ndugu Edwin Stevin Kasembe, ameaga dunia ghafla katika nyumba yake, mtaa wa Masasi Mbovu, Masasi Mjini.
Kasembe, ambaye pia aliwahi kuwa Diwani mstaafu wa Kata ya Namwanga, amefariki akiwa nyumbani kwake, na kifo chake kimeacha simanzi kubwa kwa familia, jamii na viongozi wa CCM.
Mazishi ya Ndugu Kasembe yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wa serikali, ambapo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Masasi, Bi. Mariam Kasembe, ameelezea kwa huzuni na kusema kuwa chama kimepoteza kiongozi muhimu.
Amewataka wanachama wa CCM kuungana na familia katika kipindi hiki cha maombolezo, na kushikamana katika kuhakikisha utamaduni wa chama unaendelea.
Katika ibada ya mazishi, kiongozi wa dini kutoka dhehebu la Kikristo, Kanisa Anglikana Mkuti Masasi, amesisitiza umuhimu wa kuishi maisha ya kumtegemea Mungu.
Amewaasa waombolezaji kuendelea kumtumikia Mungu na kuishi kwa upendo, licha ya huzuni inayowakumba.
Ndugu Edwin Stevin Kasembe amezikwa katika Makaburi ya Migongo Misheni, Masasi Mjini, ambapo jamii na viongozi wa dini wamekamilisha shughuli za mazishi kwa sala na maombi.
Kifo cha Kasembe kimeacha pengo kubwa katika jamii na CCM Masasi, na kitasalia kuwa kumbukumbu muhimu kwa wengi.
View attachment 3364070
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika msiba wa aliyekuwa katibu na diwani wa kata ya Namwanga wilayani Masasi Mkoani MtwaraView attachment 3364074
Chanzo Malunde
Ukristo ni upaganiImeandikwa,
Kuishi ni Kristo kufa ni Faida
R.I.P comrade Edwin Kasembe 🙏
Kifo ni kifo tuMjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Masasi, Ndugu Edwin Stevin Kasembe, ameaga dunia ghafla katika nyumba yake, mtaa wa Masasi Mbovu, Masasi Mjini.
Kasembe, ambaye pia aliwahi kuwa Diwani mstaafu wa Kata ya Namwanga, amefariki akiwa nyumbani kwake, na kifo chake kimeacha simanzi kubwa kwa familia, jamii na viongozi wa CCM.
Mazishi ya Ndugu Kasembe yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wa serikali, ambapo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Masasi, Bi. Mariam Kasembe, ameelezea kwa huzuni na kusema kuwa chama kimepoteza kiongozi muhimu.
Amewataka wanachama wa CCM kuungana na familia katika kipindi hiki cha maombolezo, na kushikamana katika kuhakikisha utamaduni wa chama unaendelea.
Katika ibada ya mazishi, kiongozi wa dini kutoka dhehebu la Kikristo, Kanisa Anglikana Mkuti Masasi, amesisitiza umuhimu wa kuishi maisha ya kumtegemea Mungu.
Amewaasa waombolezaji kuendelea kumtumikia Mungu na kuishi kwa upendo, licha ya huzuni inayowakumba.
Ndugu Edwin Stevin Kasembe amezikwa katika Makaburi ya Migongo Misheni, Masasi Mjini, ambapo jamii na viongozi wa dini wamekamilisha shughuli za mazishi kwa sala na maombi.
Kifo cha Kasembe kimeacha pengo kubwa katika jamii na CCM Masasi, na kitasalia kuwa kumbukumbu muhimu kwa wengi.
View attachment 3364070
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika msiba wa aliyekuwa katibu na diwani wa kata ya Namwanga wilayani Masasi Mkoani MtwaraView attachment 3364074
Chanzo Malunde
Sasa kafariki mmoja tu halafu mdogo kabisa!Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Masasi, Ndugu Edwin Stevin Kasembe, ameaga dunia ghafla katika nyumba yake, mtaa wa Masasi Mbovu, Masasi Mjini.
Kasembe, ambaye pia aliwahi kuwa Diwani mstaafu wa Kata ya Namwanga, amefariki akiwa nyumbani kwake, na kifo chake kimeacha simanzi kubwa kwa familia, jamii na viongozi wa CCM.
Mazishi ya Ndugu Kasembe yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wa serikali, ambapo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Masasi, Bi. Mariam Kasembe, ameelezea kwa huzuni na kusema kuwa chama kimepoteza kiongozi muhimu.
Amewataka wanachama wa CCM kuungana na familia katika kipindi hiki cha maombolezo, na kushikamana katika kuhakikisha utamaduni wa chama unaendelea.
Katika ibada ya mazishi, kiongozi wa dini kutoka dhehebu la Kikristo, Kanisa Anglikana Mkuti Masasi, amesisitiza umuhimu wa kuishi maisha ya kumtegemea Mungu.
Amewaasa waombolezaji kuendelea kumtumikia Mungu na kuishi kwa upendo, licha ya huzuni inayowakumba.
Ndugu Edwin Stevin Kasembe amezikwa katika Makaburi ya Migongo Misheni, Masasi Mjini, ambapo jamii na viongozi wa dini wamekamilisha shughuli za mazishi kwa sala na maombi.
Kifo cha Kasembe kimeacha pengo kubwa katika jamii na CCM Masasi, na kitasalia kuwa kumbukumbu muhimu kwa wengi.
View attachment 3364070
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika msiba wa aliyekuwa katibu na diwani wa kata ya Namwanga wilayani Masasi Mkoani MtwaraView attachment 3364074
Chanzo Malunde
Jumuiya za CCM ndo wachawi wakubwa wa nchi. Halafu haya majitu ya CCM yakifa msiwe mnayachelewesha bila kuwaweka ardhini.Kama alihusika kwenye operations za kuhujumu NO REFORMS NO ELECTION, basi Mungu ameamua ugomvi.