TANZIA Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Masasi, Edwin Kasembe afariki dunia ghafla katika nyumba yake

TANZIA Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Masasi, Edwin Kasembe afariki dunia ghafla katika nyumba yake

Misiba kama hii huwezi kuwaona akina Lucas Mwashambwa na mwenzake Tlaatlaah wakihudhuria. Kwa sababu wanajua fika hakuna wanasiasa wakubwa watakao hudhuria ili wawaombe hela.

Pumzika kwa amani Diwani wetu mstaafu wa CCM.
kweli na hivyo Lucus kuna kapost flani kapewa, ndio mana kaacha kuweka contact yake kweche mibinuko yake. Ni fully kuchawika
 
Imempendeza izraili atwae twao lake kutoka katika hazina ya ccm na itapendeza akiendelea kupata matwao yake katika hazina ya ccm
 
Yaani nyie mnaua na kuteka watu aaafu yakiwakuta mnataka watu wawahurumie ? Kenge kweli nyie km mbunge wenu alivyowaita.
 
Kifo ni kifo tu alisikika mwenyekiti wao,Mungu ikikupendeza chukua na mwenyekiti wao anyway no reforms no election
 
nimesikitika nikijua ni mtu, kumbe ni mwanaccm,...🥴😳

no reform no election
 
Back
Top Bottom