TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA, Renatus Mkinga afariki Dunia

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mwanaharakati Renatus Mkinga afariki, alikuwa mjumbe wa bodi ya Tasac iliyovunjwa na mama Samia mwezi uliopita.
Source: TPA

=========

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA Bw Renatus Mkinga amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili usiku wa kuamkia tarehe 25 Mei, 2021. Atakumbukwa kwa Mchango wake katika maendeleo ya Sekta ya Bandari. Apumzike kwa Amani.

TPA.jpg
 
Huyy mzee alikua ni shidaa ..dah..alikua akiongea misuli inamtoka balaa dah rip
 
Back
Top Bottom