TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA, Renatus Mkinga afariki Dunia

TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA, Renatus Mkinga afariki Dunia

Hilo sijui ila nachojua alikuwa na kisukari muda mrefu...

Kwa lugha sahihi kwenye zama za leo za upigaji nyungu magonjwa kama hayo yanaitwa uwepo wa magonjwa mengine au kibeberu beberu - underlying conditions.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kwa lugha sahihi kwenye zama za leo za upigaji nyungu magonjwa kama hayo yanaitwa uwepo wa magonjwa mengine au kibeberu beberu - underlying conditions.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania...
 
Nini tena, Indian strain imeingia au mengine. alikuwa anaongea kama cherehani..hasa mada za marine industry
 
Kumbe alipewa kitengo,ndomana alitulia
Any way apumzike kunako mstahili

Ova
Njaa kitu kibaya sana!!huyu jamaa enzi za jk alikuwa mwanaharakati kweli kweli, kama kina LISU, hususani kwenye mambo ya bandari, ila baada ya jpm kuingia madarakani akawa muimbaji mzuri sana wa tenzi za kusifu na kuabudu, serikali ya awamu ya tano, akalambishwa shavu!!akaanza kujiita mzalendo namba 2, badala ya jpm!!hiyo ripoti ya CAG, ya juzi ikaja kuibua madudu ya kutisha hadi akaivunja bodi ya TASAC!!na yeye akiwa kama mjumbe!!na ulikuwa ukiongea naye lazima ujikinge na mwanvuli kwani sio kwa mvua ile ya mate!
 
Mwanaharakati Renatus Mkinga afariki, alikuwa mjumbe wa bodi ya Tasac iliyovunjwa na mama Samia mwezi uliopita.
Source: TPA

=========

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA Bw Renatus Mkinga amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili usiku wa kuamkia tarehe 25 Mei, 2021. Atakumbukwa kwa Mchango wake katika maendeleo ya Sekta ya Bandari. Apumzike kwa Amani.

Huyu mzee niliwahi msikiliza sikumoja akielezea mambo ya Bandari alikuwa deep sana.

RIP
 
Ni dingi fulani aliyekuwa mjanja mjanja kwa kuishi kwa kuropoka, utapeli fulani nk. Kipindi JK alipokuwa madarakani alikuwa mkosoaji mkuu wa serikali na CCM (na watu wengi walimwelewa) alipoingia Magufuli akawa msifiaji mzuri wa serikali na CCM (hapo ndio watu walipomshtukia na kumkwepa sana) na Magufuli akampa ulaji.

Moja ya matokeo ya kukumbukwa kwa Mkinga ni haya...
-Kushinda bahati nasibu kubwa, tena mara mbili mfululizo.(alivuta zaidi ya 100milioni)

-Mengi kumpiga marufuku kuja kwenye vyombo vya IPP media kuongea (hapo kabla alikuwa akialikwa mara kadhaa kwenye midahalo ya ITV mpaka alivyoshtukiwa......!)

-Kuongea kwa kutumia nguvu, kupayuka mpaka kurusha mate ovyo ovyo.
 
Back
Top Bottom