TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA, Renatus Mkinga afariki Dunia

TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA, Renatus Mkinga afariki Dunia

Mwanaharakati Renatus Mkinga afariki, alikuwa mjumbe wa bodi ya Tasac iliyovunjwa na mama Samia mwezi uliopita.
Source: TPA

=========

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA Bw Renatus Mkinga amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili usiku wa kuamkia tarehe 25 Mei, 2021. Atakumbukwa kwa Mchango wake katika maendeleo ya Sekta ya Bandari. Apumzike kwa Amani.

Alikuwa ' anapayuka ' sana na kupiga ' Mikelele ' mno katika Media ( Television ) japo kwa 85% Kichwani mwake alionyesha ni Mtu Mwerevu ( Intelligent ) na mwenye Mitazamo ya mbali ( Visionary )

RIP Kwake na poleni wana Familia wake.
 
Huyu Hayati alikuwa na akili timamu ila akajakuhongwa na Marehemu JPM. Akiwa mezani bar alikuwa ba tabia ya kunywa safari mbili moja moto na bariki. Ni moja ya waongea hovyo sana.
Kuna siku nadhan wa kampeni alialikwa kuongea..huyu mzee km humjui unaweza sema nchi iko kwa machafuko🤣🤣! Ana jazba balaa..hahhaaha yaaan ni shidaaa🤣🤣! Huyy hafai kutuwakilisha international....hahhaa anatoa mimacho kama mzee wa twashwishwi🤣🤣! Mate sasa weee! Nilimpendaga bure
 
Mwanaharakati Renatus Mkinga afariki, alikuwa mjumbe wa bodi ya Tasac iliyovunjwa na mama Samia mwezi uliopita.
Source: TPA

=========

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA Bw Renatus Mkinga amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili usiku wa kuamkia tarehe 25 Mei, 2021. Atakumbukwa kwa Mchango wake katika maendeleo ya Sekta ya Bandari. Apumzike kwa Amani.

Duhh...

Mama naanza kumuogopa sasa..

😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷
 
Back
Top Bottom