Huyy mzee alikua ni shidaa ..dah..alikua akiongea misuli inamtoka balaa dah ripMwanaharakati Renatus Mkinga afariki, alikuwa mjumbe wa bodi ya Tasac iliyovunjwa na mama Samia mwezi uliopita.
Source: TPA
=========
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA Bw Renatus Mkinga amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili usiku wa kuamkia tarehe 25 Mei, 2021. Atakumbukwa kwa Mchango wake katika maendeleo ya Sekta ya Bandari. Apumzike kwa Amani.
Alafu misuli ya shingo inamsimama had utachekaNiliwahi kula nae ulabu ubungo anaongea kama mashine ya kusaga rip
Mbona hapo taarifa inasema alikuwa mjumbe wa bodi Tpa,Misheni town