Mjumbe wa Congress ataka Trump afanyiwe impeachment kwa matamshi yake kuhusu Gaza

Trump anaweza asimalize muhula wake, ana maadui wengi san ndani na nje ya nchi
Inaonekana kama Trump hayuko sawa kichwani.Anachanganya mambo sana.Wamarekani wanaweza kuona hana sifa tena za kuwa raisi.
Katika kipindi cha wiki moja tangu kuapishwa ametoa kauli tata nyingi sana za kuwaondolea watu heshima zao.Ametishia kuchukua Green Land,Panama na sasa ni Gaza.
Watu zaidi ya milioni 2 wa Gaza jee anapo pa kuwapeleka.Na kwanini awalazimishe kuondoka wakati wenyewe hawataki.
 
Kuna baadhi ya Wapalestina wa Gaza wamekubali kuhama na kuingia Misri kama watapewa guerentii ya kurejea baada ya Gaza kujengwa upya na kuwa kama Dubai.
 
Kuna baadhi ya Wapalestina wa Gaza wamekubali kuhama na kuingia Misri kama watapewa guerentii ya kurejea baada ya Gaza kujengwa upya na kuwa kama Dubai.
Gaza ikijengwa hawarudishwi kinajengwa kituo cha kuvutia watalii na wanapewa waisrael
 
Hao wapenda amani ambao hawakuchukizwa na walichofanya Hamas basi ni wanafiki tu na hawana msaada wowote.

Kama wanapenda amani ila walikaa kimya na kufurahia siku hamasi inawachoma watoto wa kiyahudi na kuwaua wengine bila huruma basi ninaweza kuwaita wahuni tu waliojawa na chuki kwa wayahudi.

Huwa nasema laana waliyoivuna Hamas mwaka 2023 imeyeyusha ndoto zote za wapelestina kuwa na nchi yao. Japo baada ya vita kusitishwa wengi mlitafsiri ni ushindi kwa Hamas na raia wa Gaza, lakini ni kwa sababu akili zenu ni fupi, zilizojawa chuki za kidini na roho mbaya kwa wayahudi.

Wapelestina wa Gaza wanashangilia mbele ya Camera za wanafiki wakubwa Al Jazeera, lakini nyuma ya Camera wana maumivu makubwa ambayo yanazidi kuchagizwa na wanaojiita watetezi (waislamu).

Waacheni wapelestina waishi kwa amani, kama mnatala msikiti wa Al Aqsa bora liundwe jeshi la Waislamu likaivamoe Israel na kuuteka huo mskiti kuliko inavyofanyika sasa hivi kwa kuwatoa chambo raiawa gaza
 
Gaza ikijengwa hawarudishwi kinajengwa kituo cha kuvutia watalii na wanapewa waisrael
Nchi za Kiarabu ni nyingi wanaongea lugha moja Mila moja desturi moja kwahiyo Wapalestina watakuwa hawajapoteza kitu.
 
Nchi za Kiarabu ni nyingi wanaongea lugha moja Mila moja desturi moja kwahiyo Wapalestina watakuwa hawajapoteza kitu.
Emu elezea tena leo aseme anawafagiaa watanzania wote wahamie Congo anataka kujenga vituo vya utalii Tanzania utasema Congo wanaongeaa lugha moja na Tanzania au sio?
 
Miaka yote wanahangaika jinsi gani watawahamisha Wapalestina, naona hii kazi wamempa huyu rasmi. Ila badala ya kutuliza moto utawaka, nawahakikishia watauwa wote ndiyo Palestina ibaki bila mtu.

Wanajua wakiondolewa ndiyo hakuna kurudi tena. Watajenga uzio mrefu na ulimlnzi mkali. Anavyosema ikibidi wanajeshi wa US wataenda ni kama wakikataa kutoka. Hiyo dhambi US na washirika wake, watajionea kwa macho yao.

Damu nyingi itamwagika aachane na huo mpango. Tunamuunga mkono kwa mengi ila haya ya Gaza na ICC angeachana nayo.
 
Emu elezea tena leo aseme anawafagiaa watanzania wote wahamie Congo anataka kujenga vituo vya utalii Tanzania utasema Congo wanaongeaa lugha moja na Tanzania au sio?
Waarabu ni kabila moja labda lugha moja Mila moja Desturi moja na ni watu pekee waliotumia Dini kuvamia na kutawala jamii nyingine na kutokana Islamic conquest walivamia nchi nyingi za watu hadi kufika katika bara la ulaya Spain nk.

Sasa leo wasilielie sasa ni zamu yao ya kutawaliwa.

Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu mchungu.
 

Mie nashauri apimwe akili kabla ya kufukuzwa kwani hafai kuongoza hata kundi la chawa au inzi. Sijui hata kama anajitambua. Angejitambua, asingeingizwa choo ya stendi na matapeli kama Netanyahu na Musk na wengine waliomzunguka wakimsifia kama maza afanyiwavyo na machawa​

 
Ana maamuzi mengi ya kukurupuka , hata washauri wake watakuwa wanapata shida
 
Kama shauri la impeachment halitaendelea mfumo wa utawala wa Marekani unazidi kujichora kama mfumo uliofeli na si wa kuigwa popote.
 
Yes trump ndo rais sahihi wakuisambararisha marekeni acha aendelee hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…