Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inna lillah wainna lillah rajiun. Allah amsamehe makosa yake na ampe rehema zake piaAliyekuwa mwakilishi wa Kinyasini na aliyewahi kuwa mwanasheria ndugu Aboubakar Khamis Bakar amefariki dunia,mjini Zanzibar usiku wa kuamkia leo Novemba 11, 2020.
Poleni sn ACTKwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompiga risasi chini ya miguu usiku wa tarehe 28/10/2020 hakuwa sawa mpaka mauti. Inna lillah waina ilaih raajiun.
Kiongozi wa Chama
Zitto Kabwe
CUF.Alikuwa chama gani?