TANZIA Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo, Aboubakar Khamis Bakar afariki dunia mjini Zanzibar

Zanzibar mna nini lakini?Inakuaje kila uchaguzi mnaletewa askari wageni wanakuja wanaua ndugu zenu nanyi mnakubali tu?
Si ni bora hata Zanzibar hua wanajaribu kupambania haki yao ila wanazidiwa,huku bara hakunaga hata anaepambana kama wazenji.

Mpk police wanajirecord video zinazosambaa huko mitandaoni wakiimba 'mko wapi wachumba mbona hamtokei,nimeshachukua lodge lkn mpnz hautokei(wakimaanisha raia mbona hamjitokezi road, police tumeshafika barabarani lkn hamji kuandamana).'

Muda huo hao watu wanaosubiriwa kwenda kuandamana wako zao bar wanakula bia huku wakiwa nakamfuko kenye vumbi la mkongo tayari kwa kwenda kupata utelezi.
 
😁😁😁,hii nchi wananchi tunadharauliwa sana!
 
Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompiga risasi chini ya miguu usiku wa tarehe 28/10/2020 hakuwa sawa mpaka mauti. Inna lillah waina ilaih raajiun.

Kiongozi wa Chama
Zitto Kabwe

Inna lillah wa inna ilahyi rajiun.
Maonevu yote ipo siku yatalipwa
 
pumzika kwa amani nguli wa Sheria hasa Katika masuala ya Katiba na Uandishi wa sheria. Historia inatuambia kuwa ana Mkono wake wa moja kwa moja kwenye uandishi wa Katiba zote za Zanzibar ya 1984 na Tanzania.
 
Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompiga risasi chini ya miguu usiku wa tarehe 28/10/2020 hakuwa sawa mpaka mauti. Inna lillah waina ilaih raajiun.

Kiongozi wa Chama
Zitto Kabwe

CCM !!! Mungu atalipa..
 
Poleni saaana! Inasikitisha!
 
..R.I.P Aboubakar Khamis Bakar.

..hakika ACT na vyama vya upinzani vimepoteza mwanachama muhimu sana.

..nakumbuka mchango mkubwa wa Aboubakar Khamis Bakar wakati wa bunge la katiba.
 
..amewahi kuwa jaji wa mahakama kuu znz.

..mwanasheria mkuu wa serikali ya mapinduzi Znz.

..waziri wa sheria ktk serikali ya mapinduzi.

Member of the House CV​

GENERAL INFORMATIONS
SalutationHonourable
Member picture
MH.Abubakar%20Khamis%20Bakary.jpg
Last NameBakary
Middle Name:Khamis
First Name:Abubakar
Date of Birth:2th November 1951
Member Type:Elected
Constituency:Mgogoni
Political Party:CUF
Office LocationFinya Banda Maji-Pemba
Telephone Number:-
Mobile Number:+255777411437 (or) +255658411437
Office Email:-
Personal Email:abuutiri@hotmail.com (or) abuutiri@yahoo.com
Year Started:1984 to date
Terms:Fifth
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
GENERAL INFORMATIONS
Wete Boys Primary SchoolPrimary Education19591965Primary
Fiedel Castro Secondary SchoolSecondary Education19661969Secondary
Lumumba CollegeSecondary Education19701971A - Level
University of Dar-es-SalaamLaw19721975Degree
University of the West IndiesLaw19921992Master
Institution /Company
Position
From Date
End Date
EMPLOYMENT HISTORY
SMZState Attorney19751976
SMZCleark ot the House of Representative of Zanzibar19801982
SMZSenior State Attorney Chief Parliament Drafts Man19821983
SMZJudge19831984
SMZAttorney General19841988
SMZMinister19851989
SMZDeputy Chief Justice19891990
SMZChair Person Law Review19901991
Private Advocate19921995
SMZCo-Chair Person JPSC20022005
Member of the House of Representatives and Leader of Opposition in the House.20052010
SMZ (Ministry of constitutional and legal affair)Minister2010To date
 
Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompiga risasi chini ya miguu usiku wa tarehe 28/10/2020 hakuwa sawa mpaka mauti. Inna lillah waina ilaih raajiun.

Kiongozi wa Chama
Zitto Kabwe

Kielelezo hiki kifike ICC, the Hague.
 
.R.I.P Aboubakar Khamis Bakar.

..hakika ACT na vyama vya upinzani vimepoteza mwanachama muhimu sana.

..nakumbuka mchango mkubwa wa Aboubakar Khamis Bakar wakati wa bunge la katiba.
marehemu alikuwa ni gwiji wa sheria, kwa nyadhifa alizozipitia nyakati za uhai wake laiti kama angelitaka kuegemea upande ule wa wasiopenda haki basi naamini maisha yake yangelikuwa ni ya kutukuzwa.

cha ajabu mwanadamu aliyeshika nyadhifa mbali mbali za kisheria ndani ya serikali anafariki akiwa hana kitambulisho cha mzanzibari mkaazi.
tafsiri yake ni kwamba hatambulikani.

Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompiga risasi chini ya miguu usiku wa tarehe 28/10/2020 hakuwa sawa mpaka mauti. Inna lillah waina ilaih raajiun

Kiongozi wa Chama
Zitto Kabwe

Inna lillah waina ilaih raajiun
 
Hivi wewe unawazazi kwelI au watoto hivi ushetani unakutoka wapi
Acha kukurupuka, Soma comment niliyoijibu. Badala ya kumshangaa yeye unanishangaa Mimi. Yeye kufurahia mtu kufa umeona sawa...na yeye atafiwa vile vile kama sio yeye afe
 
Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompiga risasi chini ya miguu usiku wa tarehe 28/10/2020 hakuwa sawa mpaka mauti. Inna lillah waina ilaih raajiun

Kiongozi wa Chama
Zitto Kabwe

cha cha kijani wameua
 
Back
Top Bottom