Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyebuni project ya " CHADEMA ni Msingi" ahamia CCM na kupaponda Ufipa!

Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyebuni project ya " CHADEMA ni Msingi" ahamia CCM na kupaponda Ufipa!

Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.

Chanzo: Channel ten!

Maendeleo hayana

Chama cha wazee utakijua tu, kila kikipata mtu toka chama cha vijana utasikia wanasema huyu ndio kijana mwenye nguvu kabisa. Na uzuri sasa hivi watu toka cdm wameshajua ile 1.5t haijaisha, kila mtu akitoka cdm akifika ccm anawaambia yeye ndio alibuni kitu fulani.

Kesho akienda mwingine toka CHADEMA, akifika ataawaambia yeye ndio alibuni nembo ya cdm na ni msomi wa nguvu, hapo analamba 10m yake hardcash. Nani ataacha hela za Mabwege waliopanick kwenye siasa.
 
Chama cha wazee utakijua tu, kila kikipata mtu toka chama cha vijana utasikia wanasema huyu ndio kijana mwenye nguvu kabisa. Na uzuri sasa hivi watu toka cdm wameshajua ile 1.5t haijaisha, kila mtu akitoka cdm akifika ccm anawaambia yeye ndio alibuni kitu fulani. Kesho akienda mwingine toka Cdm, akifika ataawaambia yeye ndio alibuni nembo ya cdm na ni msomi wa nguvu, hapo analamba 10m yake hardcash. Nani ataacha hela za Mabwege waliopanick kwenye siasa.
Ngoja tumsikie Makene anasemaje maana ndio anawajua wajumbe vizuri!
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.

Chanzo: Channel ten!

Maendeleo hayana
Ccm mlivyo washamba hata wema sepetu mlimpokea kwa matangazo live mitandaoni.
 
Mchumia tumbo tu hakuna kingine, anafuata teuzi tu.
Hii nchi wasomi wake ni wa kuwahesabu!
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.

Chanzo: Channel ten!

Maendeleo hayana

Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 (tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
 
Shukrani kaka mkubwa kwa kukemea upotoshaji wa waziwazi unaotaka kufanywa na hawa MATAGA
Kama Zitto anasema kweli basi yule mjumbe wa CC ya Chadema aliyehamia CCM amefanya kosa la kiufundi kumdanganya Katibu wa Itikadi na Uenezi mbele ya camera.

Tena akaomba salamu zake zifikishwe kwa mwenyekiti na Katibu mkuu
 
Huyo aliedanganywa ndio kiazi, mjini hapa; mwambie aache kucheka cheka kwenye press, awe anafanya research kwanza.
 
Mimi nimemnukuu mjumbe wa CC ya Chadema bwashee.

Mambo ya Chadema ni msingi mimi ningeyajulia wapi meku?
Sasa kama huyajui kwanini unapenda kudandia usivyovijua bwashee, ona sasa utakosa usingizi usiku huu, bora Zitto angekuwa ameshalala!.
 
Back
Top Bottom