Siku hizi siasa pia ni biashara, watu wananunuliwa, hivyo hiyo ni marketing strategy to add value. Hata ungekuwa bado uko Chadema, ukaamua kujiuza, ili upate dau kubwa lazima ufanye value addition hata kudanganya mfano "mimi ndio the only think tank wa Chadema", just to get good price kwa kuonyesha " mimi ndio kila kitu" " mimi ndio tegemeo lao":" bila mimi, hakuna CC ya Chadema" ili jamaa wajione wamenunua mali yenye thamani sana!, kwenye sales & marketing strategies kwa biashara zote, mbinu hizi zinakubalika, hata kwenye biashara ya siasa!.
Kitu ambacho nakisubiri kwa hamu ni kuangalia kama wachezaji wote wa kulipwa walionunuliwa kwa dau nene, wote watapangwa kwenye mechi?.
P