Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyebuni project ya " CHADEMA ni Msingi" ahamia CCM na kupaponda Ufipa!

Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyebuni project ya " CHADEMA ni Msingi" ahamia CCM na kupaponda Ufipa!

Kasuku. No research, funga mdomo. Kwani kila ukisomacho lazima kukinukulu? Ulinukulu kubebea upuuzi wako kumbe mbeleko tambala bovu. Limeachia ukatumbukiwa nyongo. Bwashee kawa meku!
Meku mkuu Zitto ameshafafanua......kuileta hoja Jf ni utafiti tosha bwashee!
 
Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 (tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Kwa hiyo ulipofukuzwa mlikuwa mmeshaibuni?
 
Hahahah! Walichobuni akina Zitto ni kitu kingine tofauti, sema tu amefananisha TAWI na MSINGI.
Walichokibuni wao kiliwatokea puani!!
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.

Chanzo: Channel ten!

Maendeleo hayana

Msomi pekee mbobezi Chadema? Kama msomi nategemea amezungumzia sera zipi zilizomvuta CCM na sio kujisifia miradi aliyobuni katika chama alichotoka. Au ameona kuna udhaifu katika kubuni miradi CCM hivyo anataka kuwasaidia kwenye hilo?

Amandla...
 
CCM kumesheheni PhD bwashee!
 
Chama cha wazee utakijua tu, kila kikipata mtu toka chama cha vijana utasikia wanasema huyu ndio kijana mwenye nguvu kabisa. Na uzuri sasa hivi watu toka cdm wameshajua ile 1.5t haijaisha, kila mtu akitoka cdm akifika ccm anawaambia yeye ndio alibuni kitu fulani.

Kesho akienda mwingine toka CHADEMA, akifika ataawaambia yeye ndio alibuni nembo ya cdm na ni msomi wa nguvu, hapo analamba 10m yake hardcash. Nani ataacha hela za Mabwege waliopanick kwenye siasa.
Wanasema chadema nyumbu sasa wakifika huko wanageuka kuwa nani au ng'ombe
 
Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 (tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Tangu lini CCM waliishi bila uongo na majungu??
 
Back
Top Bottom