Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyebuni project ya " CHADEMA ni Msingi" ahamia CCM na kupaponda Ufipa!

Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyebuni project ya " CHADEMA ni Msingi" ahamia CCM na kupaponda Ufipa!

Kuna nini Chadema mbona wanapakimbia? Au ndio siku ya kufa nyani miti yote huteleza?
Watu wameshajua kuna pesa za bure, wataziachaje? Na mimi nahamia huko kwa muda nikachukue mshiko wangu wa kutosha. Nitawaambia mimi ndiye nilikuwa mshauri wa Mzee Mtei na Bob Makani. Najua Slow Slow atanipokea kwa mbwembwe zote na TBC watarusha live[emoji23]
 
Naunga mkono hoja, na kufuatia uwepo wa bidha fake, kuna baadhi ya wanunuzi wananunua bidhaa fake kwa bei ya juu wakiamini ni original!, na ukiwa huijui original, ukiuziwa fake na kuambiwa ndio yenyewe, lazima utafika tuu bei!, muda wa kujua kuwa uliuziwa fake, ni wakati wa performance, by then it will be too late.
P
ila picha inavyoonyesha hawa wote walionunuliwa baada ya uchaguzi kazi wanayo,wanaweza wasipate fadhila na mission wameshaimaliza
 
Chama cha wazee utakijua tu, kila kikipata mtu toka chama cha vijana utasikia wanasema huyu ndio kijana mwenye nguvu kabisa. Na uzuri sasa hivi watu toka cdm wameshajua ile 1.5t haijaisha, kila mtu akitoka cdm akifika ccm anawaambia yeye ndio alibuni kitu fulani. Kesho akienda mwingine toka Cdm, akifika ataawaambia yeye ndio alibuni nembo ya cdm na ni msomi wa nguvu, hapo analamba 10m yake hardcash. Nani ataacha hela za Mabwege waliopanick kwenye siasa.
[/QU OTE]
Mh...1.5 tril inatumika kununua wanachama toka Cdm?
 
Siku hizi siasa pia ni biashara, watu wananunuliwa, hivyo hiyo ni marketing strategy to add value. Hata ungekuwa bado uko Chadema, ukaamua kujiuza, ili upate dau kubwa lazima ufanye value addition hata kudanganya mfano "mimi ndio the only think tank wa Chadema", just to get good price kwa kuonyesha " mimi ndio kila kitu" " mimi ndio tegemeo lao":" bila mimi, hakuna CC ya Chadema" ili jamaa wajione wamenunua mali yenye thamani sana!, kwenye sales & marketing strategies kwa biashara zote, mbinu hizi zinakubalika, hata kwenye biashara ya siasa!.

Kitu ambacho nakisubiri kwa hamu ni kuangalia kama wachezaji wote wa kulipwa walionunuliwa kwa dau nene, wote watapangwa kwenye mechi?.
P
Nakubaluana na wewe, kama alivyonunuliwa Waitara, alitamba sana kuwa yeye ndiye ataizika kabisaaaaa Chadema na kweli akaukwaa Unaibu Waziri, lakini hadi leo hii yeye ndye anaelekea kujizika.
 
Hiyo afadhali, mbaya zaidi ni ile hata wanunuzi wanajua kabisa kwamba wanachonunua hakina thamani sana zaidi ya kunufaika na uhamiaji ila wako radhi watengeneze mazingira huyo wanaemnunua aonekane alikua mtu muhimu ndani ya chama atokacho japo kwenye kamera tu.

Ukute wanufaikaji ni wengi kwenye huu mfumo mzima wa manunuzi.
Dau likiwa kubwa na yeye dalali anapiga cha juu kikubwa zaidi, si unaona madalali wa vyumba walivyoparamisha bei za vyumba hapa mjini.
 
Siku hizi siasa pia ni biashara, watu wananunuliwa, hivyo hiyo ni marketing strategy to add value. Hata ungekuwa bado uko Chadema, ukaamua kujiuza, ili upate dau kubwa lazima ufanye value addition hata kudanganya mfano "mimi ndio the only think tank wa Chadema", just to get good price kwa kuonyesha " mimi ndio kila kitu" " mimi ndio tegemeo lao":" bila mimi, hakuna CC ya Chadema" ili jamaa wajione wamenunua mali yenye thamani sana!, kwenye sales & marketing strategies kwa biashara zote, mbinu hizi zinakubalika, hata kwenye biashara ya siasa!.

Kitu ambacho nakisubiri kwa hamu ni kuangalia kama wachezaji wote wa kulipwa walionunuliwa kwa dau nene, wote watapangwa kwenye mechi?.
P
Asante kwa kuthibisha kuwa CCM inanunua wapinzani
 
Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 ( tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Acha Watanzania wenye mioyo myepesi wakaonje 1.5+2.4 Trillions za wezi.CCM wananunua mapapai,mpapai wenye nao wanahakikisha unazaa matunda yanayovutia kila siku ili waroho waendelee kununua.
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.

Chanzo: Channel ten!

Maendeleo hayana
Yeyote anayehama CHADEMA utasikia waliobaki CHADEMA wanasema - kanunuliwa, ni mwongo, hakuwa mwanachama, alikuwa ameisha fukuzwa, ni...... na..... Acha aende treini inaenda kigoma yeye kashuka njiani n. k.
Mtaisha
 
Wewe unadhani mwenyekiti wa halmashauri hana njaa,analipwa kiasi gani kwa mwezi?
Tumetofautiana kwenye kufikiri aisee..
Huyo si alikuwa mwenyekiti wa halimashauri au?
Hiyo njaa anaitoa wapi?
 
Chama cha wazee utakijua tu, kila kikipata mtu toka chama cha vijana utasikia wanasema huyu ndio kijana mwenye nguvu kabisa. Na uzuri sasa hivi watu toka cdm wameshajua ile 1.5t haijaisha, kila mtu akitoka cdm akifika ccm anawaambia yeye ndio alibuni kitu fulani. Kesho akienda mwingine toka Cdm, akifika ataawaambia yeye ndio alibuni nembo ya cdm na ni msomi wa nguvu, hapo analamba 10m yake hardcash. Nani ataacha hela za Mabwege waliopanick kwenye siasa.
Taifa la wajinga na mang'ombe
 
Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 ( tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Uko sahihi kabisa, mimi hii niliikuta wakati najiunga CHADEMA mwaka 2006....CHADEMA ni Tawi ambayo imekuja baadae kubadilishwa na kuitwa CHADEMA ni MSINGI.
 
Siku hizi siasa pia ni biashara, watu wananunuliwa, hivyo hiyo ni marketing strategy to add value. Hata ungekuwa bado uko Chadema, ukaamua kujiuza, ili upate dau kubwa lazima ufanye value addition hata kudanganya mfano "mimi ndio the only think tank wa Chadema", just to get good price kwa kuonyesha " mimi ndio kila kitu" " mimi ndio tegemeo lao":" bila mimi, hakuna CC ya Chadema" ili jamaa wajione wamenunua mali yenye thamani sana!, kwenye sales & marketing strategies kwa biashara zote, mbinu hizi zinakubalika, hata kwenye biashara ya siasa!.

Kitu ambacho nakisubiri kwa hamu ni kuangalia kama wachezaji wote wa kulipwa walionunuliwa kwa dau nene, wote watapangwa kwenye mechi?.
P
Sio wote mpaka wachezeshwe, hata kwenye timu kubwa wakinunua wachezaji wanakaa bench mda kidogo ili wazoehe mazingira labda yule atakaye zoea mazingira haraka na kuendana na mfumo wa kocha. Ni chadema tu walio sajili mchezaji hata kabla ya wiki wakampa nafasi muhimu ya ushambuliaji wakati hajafanya hata mazoezi kisa mzoefu, kilichowapata nyinyi mashaki mnakijua. Hakina kocha mzuri anaweza kufanya Ujinga huo wakupanga mchezaji kabla ya kufanya naye mazoezi.
 
Siku hizi siasa pia ni biashara, watu wananunuliwa, hivyo hiyo ni marketing strategy to add value. Hata ungekuwa bado uko Chadema, ukaamua kujiuza, ili upate dau kubwa lazima ufanye value addition hata kudanganya mfano "mimi ndio the only think tank wa Chadema", just to get good price kwa kuonyesha " mimi ndio kila kitu" " mimi ndio tegemeo lao":"

Bila mimi, hakuna CC ya Chadema" ili jamaa wajione wamenunua mali yenye thamani sana!, kwenye sales & marketing strategies kwa biashara zote, mbinu hizi zinakubalika, hata kwenye biashara ya siasa!.

Kitu ambacho nakisubiri kwa hamu ni kuangalia kama wachezaji wote wa kulipwa walionunuliwa kwa dau nene, wote watapangwa kwenye mechi?.
P
Sababu za Simba kununua mchezaji wa Yanga huwa ni tatu. Ya kwanza - anawasumbua sana kila wakicheza nao lazima awafunge. Mchezaji mwenyewe si mchezaji wa maana. Anabahati tu ya kuifunga Simba. Ya pili - uwezo tu wa kununua mchezaji wa Yanga. Ulevi usio na tija yoyote. Ya tatu - mchezaji mzuri wa kuwafaa na namba yake ipo wazi. Vivyo hivyo vyama. Sababu ya tatu alikuwa anaicheza marehemu Hiza Tambwe kote alikoenda! Hawa wengine benchi linawahusu. Mbwembwe za kuwachukua ziliishia kuwakosesha usingizi upande wa pili. Kelele za mwenye nyumba, je, zinamnyima mpangaji usingizi?
 
Hapa unazungumzia watu kulenga uteuzi,au unao ushahidi kuwa watu huwa wanapewa mlungula ili wahamie Ccm ?Maana sisi tunaoushahidi wa vinywa vyao wakisema wao huwa hawanunuliwi bali wamemkubali JPM na Ccm kwa kufanya yale waliokuwa wanayatarajia.
 
Back
Top Bottom