johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jina au Picha.......
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.
Chanzo: Channel ten!
Maendeleo hayana
Ngoja tumsikie Makene anasemaje maana ndio anawajua wajumbe vizuri!Chama cha wazee utakijua tu, kila kikipata mtu toka chama cha vijana utasikia wanasema huyu ndio kijana mwenye nguvu kabisa. Na uzuri sasa hivi watu toka cdm wameshajua ile 1.5t haijaisha, kila mtu akitoka cdm akifika ccm anawaambia yeye ndio alibuni kitu fulani. Kesho akienda mwingine toka Cdm, akifika ataawaambia yeye ndio alibuni nembo ya cdm na ni msomi wa nguvu, hapo analamba 10m yake hardcash. Nani ataacha hela za Mabwege waliopanick kwenye siasa.
Ccm mlivyo washamba hata wema sepetu mlimpokea kwa matangazo live mitandaoni.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.
Chanzo: Channel ten!
Maendeleo hayana
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.
Chanzo: Channel ten!
Maendeleo hayana
Shukrani kaka mkubwa kwa kukemea upotoshaji wa waziwazi unaotaka kufanywa na hawa MATAGAHuu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 ( tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Taarifa hii imfikie Humphrey Polepole!Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 ( tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 ( tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Kama Zitto anasema kweli basi yule mjumbe wa CC ya Chadema aliyehamia CCM amefanya kosa la kiufundi kumdanganya Katibu wa Itikadi na Uenezi mbele ya camera.Shukrani kaka mkubwa kwa kukemea upotoshaji wa waziwazi unaotaka kufanywa na hawa MATAGA
Bwashee wahenga walisema muungwana akivuliwa nguo huchutama, sasa mbona wewe bado umesimama?!Taarifa hii imfikie Humphrey Polepole!
Hahahaaaa........ngoja waje wanaomjua!Huyo ni muhuni kawaingiza mjini maana anajua wana hela za bure.
Huyo aliedanganywa ndio kiazi, mjini hapa; mwambie aache kucheka cheka kwenye press, awe anafanya research kwanza.Kama Zitto anasema kweli basi yule mjumbe wa CC ya Chadema aliyehamia CCM amefanya kosa la kiufundi kumdanganya Katibu wa Itikadi na Uenezi mbele ya camera.
Tena akaomba salamu zake zifikishwe kwa mwenyekiti na Katibu mkuu
Mimi nimemnukuu mjumbe wa CC ya Chadema bwashee.Bwashee wahenga walisema muungwana akivuliwa nguo huchutama, sasa mbona wewe bado umesimama?!
Kumbe ulimuona anavyonesanesa kwenye coach la Lumumba!Huyo aliedanganywa ndio kiazi, mjini hapa; mwambie aache kucheka cheka kwenye press, awe anafanya research kwanza.
Sasa kama huyajui kwanini unapenda kudandia usivyovijua bwashee, ona sasa utakosa usingizi usiku huu, bora Zitto angekuwa ameshalala!.Mimi nimemnukuu mjumbe wa CC ya Chadema bwashee.
Mambo ya Chadema ni msingi mimi ningeyajulia wapi meku?
Anaingizwa chaka huku ananesa nesa, mpe pole zake!.Kumbe ulimuona anavyonesanesa kwenye coach la Lumumba!