Sio wote mpaka wachezeshwe, hata kwenye timu kubwa wakinunua wachezaji wanakaa bench mda kidogo ili wazoehe mazingira labda yule atakaye zoea mazingira haraka na kuendana na mfumo wa kocha. Ni chadema tu walio sajili mchezaji hata kabla ya wiki wakampa nafasi muhimu ya ushambuliaji wakati hajafanya hata mazoezi kisa mzoefu, kilichowapata nyinyi mashaki mnakijua. Hakina kocha mzuri anaweza kufanya Ujinga huo wakupanga mchezaji kabla ya kufanya naye mazoezi.