Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Sikubaliani na wewe, kufanya interview nzuri ni uwezo na kipaji na sio elimu, au fani!, ndio maana uandishi nayo ni taaluma, ina cut across the society!. Mtu hahitajiki kuwa engineer kufanya kipindi cha nyumba!, japo akiwa mtaalamu atafanya vizuri zaidi!.Haiwezekani???!!!
Ungekuwa say Engineer na.ungeandikia from that angle sio sumu za kina Kibonde na nani sijui wanaotangaza habari za nyumba wakati wao hata ratio ya tofali na sababu zake hawajui!!!!!
Au huoni dakika arobaini na tano wakiingia watu tough muandishi anageuzwa tape
recorder???!!!
Au wewe uje unihoji mimi sasa si ntaamua kuupeleka mjadala nitakavyo sababu najua huwezi kunibana
Wenzetu wana kitu wanaita specialization, anayefanya serious prog ya medical, anakuwa ni mtu mwenye MD, ila kwa vile uandishi bongo haulipi, karibu wote wanao specialize, wanaishia huko kwenye speciality, hawarudi newsroom!.
Dr. Mlimka, Prof. Kabudi, Dr. Mvungi, Dr. Mwakyembe wote walikuwa waandishi wa habari, walipospecialize, hawakurudi tena newsroom!.
Pasco.