Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

Haiwezekani???!!!
Ungekuwa say Engineer na.ungeandikia from that angle sio sumu za kina Kibonde na nani sijui wanaotangaza habari za nyumba wakati wao hata ratio ya tofali na sababu zake hawajui!!!!!

Au huoni dakika arobaini na tano wakiingia watu tough muandishi anageuzwa tape
recorder???!!!

Au wewe uje unihoji mimi sasa si ntaamua kuupeleka mjadala nitakavyo sababu najua huwezi kunibana
Sikubaliani na wewe, kufanya interview nzuri ni uwezo na kipaji na sio elimu, au fani!, ndio maana uandishi nayo ni taaluma, ina cut across the society!. Mtu hahitajiki kuwa engineer kufanya kipindi cha nyumba!, japo akiwa mtaalamu atafanya vizuri zaidi!.

Wenzetu wana kitu wanaita specialization, anayefanya serious prog ya medical, anakuwa ni mtu mwenye MD, ila kwa vile uandishi bongo haulipi, karibu wote wanao specialize, wanaishia huko kwenye speciality, hawarudi newsroom!.
Dr. Mlimka, Prof. Kabudi, Dr. Mvungi, Dr. Mwakyembe wote walikuwa waandishi wa habari, walipospecialize, hawakurudi tena newsroom!.
Pasco.
 
Nilifanikiwa kumuona huyu dada juzi akichangia kwakweli nilikuwa sebuleni na wife wote kwa pamoja tulimkubali kwa jinsi alieleza kwa ufasaha hadi kila mmoja wetu akakiri kama wangalau tungekuwa na 1/3 ya wajumbe wa namna hii basi tungepata katiba bora. Hiyo michango ya wanajamvi wengine kuhusu mapungufu yake si mbaya kwani ni nafasi ya yeye pia kujua mapungufu yake na kujirekebisha hatimaye atakuwa bora zaidi. Ila ki ukweli anajua alilofuata kwenye bunge hili la katiba.

michango kama ile ndio inayotakiwa iwepo bungeni.. alichoongea si kitu cha ajabu sana ila kwakuwa tumezoea kusikia mipasho hata kutoka kwa wasomi wetu inabidi yeye apate credits. kama wabunge wetu wangekuwa na uelewa ilitakiwa tuwe tunaona michango ya namna ile mnara kwa mara.
tatizo naloliona mimi ni kuwa wabunge wengi wamejivua ufahamu/ wameweka elimu na uelewa pembeni na kuamua kuvaa ushabiki wa makundi
 
Sikubaliani na wewe, kufanya interview nzuri ni uwezo na kipaji na sio elimu, au fani!, ndio maana uandishi nayo ni taaluma, ina cut across the society!. Mtu hahitajiki kuwa engineer kufanya kipindi cha nyumba!, japo akiwa mtaalamu atafanya vizuri zaidi!.

Wenzetu wana kitu wanaita specialization, anayefanya serious prog ya medical, anakuwa ni mtu mwenye MD, ila kwa vile uandishi bongo haulipi, karibu wote wanao specialize, wanaishia huko kwenye speciality, hawarudi newsroom!.
Dr. Mlimka, Prof. Kabudi, Dr. Mvungi, Dr. Mwakyembe wote walikuwa waandishi wa habari, walipospecialize, hawakurudi tena newsroom!.
Pasco.

Pasco, mim pia sikubaliani na wewe khs ulichoandika. Ukiacha kipaji na uwezo, taaluma/ uelewa khs kitu unachohoji ni muhimu sana. Mwandishi wa habari mzuri anatakiwa awe na specialization ya taaluma flani pia na ikiwezekana abobee kwenye hiyo taalima. nafikiri USA wanafanya hivyo, ukikuta mwandishi wa habari za uchumi, mfano, anakuwa na uelewa mzuri na hiyo taaluma pia
haiingii akilini, mtu aripoti mfano taaria ya CAG, au amuhoji CAG kuhusu ripoti yake wakati hajui chochote kuhusu hiyo taaluma
 
Sikubaliani na wewe, kufanya interview nzuri ni uwezo na kipaji na sio elimu, au fani!, ndio maana uandishi nayo ni taaluma, ina cut across the society!. Mtu hahitajiki kuwa engineer kufanya kipindi cha nyumba!, japo akiwa mtaalamu atafanya vizuri zaidi!.

Wenzetu wana kitu wanaita specialization, anayefanya serious prog ya medical, anakuwa ni mtu mwenye MD, ila kwa vile uandishi bongo haulipi, karibu wote wanao specialize, wanaishia huko kwenye speciality, hawarudi newsroom!.
Dr. Mlimka, Prof. Kabudi, Dr. Mvungi, Dr. Mwakyembe wote walikuwa waandishi wa habari, walipospecialize, hawakurudi tena newsroom!.
Pasco.

Kaka unajua mtu mwenye akili akiamua kubisha huwa anaandika vituko????!!!!

Yaani huoni umuhimu wa kipindi cha nyumba kuendeshwa na mtu mwenye hiyo taaluma???!!!
Yaani nguli kama Mwakyembe akafanyiwe depth interview na mtu asiyejua sheria say juu ya katiba mpya???!!
Unakubali uandishi ni taaluma halafu hutaki specialization katika taaluma husika????!!
Unaposema japo akiwa mtaalamu atafanya vizuri zaidi,una re affirm nini???

Mkuu zama hizi sio za kutuambia habari za vipaji,vipaji vinatakiwa kutunzwa na.kuwa fused na utaalamu hapo ndio unapata hayo unayoyategemea!!!!!
Sasa wewe leo ukikutana na mtaalamu kutoka NASA hivi utahoji nini mkuu????!!!!
 
Nimemkubali huyu mama.

Ndiyo maana kila siku tunawambia wajasiriamali wa siasa kwamba siyo kila aliyejiinigiza kwenye siasa ni mzalendo wa kweli.

Naamini tukipata katiba bora, wenye uwezo watapewa nchi yao waiongoze na mission town watarudi Gerezani kujifunza ufundi stadi!
 
Tatizo uandishin wa habari umekuwa taaluma ya kukimbiliwa na watu wasio na uwezo wa darasani kwenye nchi yetu. Umeonekana kama ni sehemuya u-celebrity. Watu hawaangalii ichangomoto zilizopo kwenye jamii, bali wanaangalia kujulikana, at the end of the day watakuwa ma-MC kwneye sherehe na ikiwezekana mikutano ya chama.
Lakini uandishi ni taaluma, (sio ya watu waliofeli NECTA). Inakuwa nzuri kama inakuwa backed up na taaluma nyingine ili uweze kubobea kwenye uandishi/ uchunguzi wa kitu fulani.
Kwetu TZ, imekuwa taaluma ya kukimbiliwa na watu waliofeli NECTA, na ambao hawajui kesho yao itakuwaje.... So sad
Pasco! Kama nyie ni waandishi, professional, ni wakati wenu sasa kuitetea na kuijenga taaluma yenu, zuieni makanjanja. Jana nilikuwa naamgalia news nikaona mtafaruku TASWA, watu ambao hawana hata cheti ikabidi wajitoe kugombea....
 
Last edited by a moderator:
Tatizo uandishin wa habari umekuwa taaluma ya kukimbiliwa na watu wasio na uwezo wa darasani kwenye nchi yetu.

Pasco! Kama nyie ni waandishi, professional, ni wakati wenu sasa kuitetea na kuijenga taaluma yenu, zuieni makanjanja. ...
Vanine, usemayo ni kweli kabisa, ila fani ya uandishi nayo inafuata laws za demand and supply lakini pia hao makanjanja ndio waandishi wenye soko!, yaani waliowengi wanapenda kusoma trash na garbage kuliko hard facts!, magazeti ya udaku ndio yanayoongoza kwa circulation!, na Clouds Radio ndio inayoongozwa kwa kusikilizwa!.

Muswada wa sheria mpya ya habari, uliainisha sifa za mwandishi na kuitroduce leseni kama ilivyo kwa wanasheria, madaktari na wana taaluma wengine, minimum qualification ikipendekezwa iwe ni 1st degree!, huwezi amini, ni chama cha wamiliki wa vyombo vya habari MOAT, walilivalia njuga hadi kusitishwa, hoja za MOAT zikidai Tanzania hatuna graduates wa kutosha kutosheleza soko la habari (kiukweli lengo ni kuavoid employing graduates ili ku tap cheap labor and maximize profits).
Pasco
 
Mkuu hii hoja ya market ndio inataka ndio inakwamisha mambo mengi; hao wanaoongozwa na nguvu ya soko ndio wanaongoza kwa kuwa na bidhaa bora sokoni!!!!!!

Hoja ya MOAT walishinda ni kwa sababu nyie wengi wenu walikuwa upande wa MOAT yawezekana hata wewe uliwaunga mkono,na sababu ni wazi kabisa kuwa kama ingepitishwa hivyo wengi wangekosa ajira!!!!!

Na ni kasumba kwa karibu nchi nzima wajanja wajanja tu wamejaa nafasi nyeti anzia bungeni,wizarani huko,shuka vyama vya siasa, vyama vya michezo,taasisi nyingi tu, na sasa wanaweka web ya kulindana na kuzuia wenye uwezo!!!!!

Unapewa position na sifa za mdomo za mtendaji. Omba elimu yake na uhusiano wa anachokifanya hakuna kitu kabisa!!!!!Mpe kazi under tight supervision anatoka jasho tu na AIr con. iko on temp 22 celcius!!!!!!

Tusemezane ukweli kila inapobidi
 
Nimemshangaa kweli Pasco anaposema kuwa min. qualifications za mwandishi zilizopendekeza ni 1st degree wakati kinachofanya kazi siyo degree. Wapo watu kibao kwenye sekta kibao lakini hawana degree na kazi zao ni nzuri sana. Ila wapo hadi maprofesa ambao tija yao ni sifuri na aghalabu, wamechangia sana kudidimiza na kuuza hii nchi.

Inabidi watu waache upuuzi wa vyeti na waangalie taaluma katika wigo mpana wa tija ya mwenye hiyo taaluma. Kama mwenye cheti anaweza kufanya kazi vizuri kwa ngazi yake, kwa nini uchukue mwenye PhD feki?

Halafu pia watu wanasahau kuwa watanzania wenye vyeti vya kufoji ni wengi sana kiasi kwamba tukianza kufuatiliana tutazua vita ya wenyewe kwa wenyewe!

Kwenye suala la taaluma na kufoji, nadhani nako tunahitaji muafaka wa kitaifa!
 
Mkuu Dark City, hili ni suala la discipline tuu, kama kwenye sheria kuna watu wana certificate, diploma, advanced diploma, na degree, wanaokuwa certified as advocates ni wenye degree tuu!. Kwenye utabibu hivyo hivyo kuna medical attendants, nurses, medical assistants, rmo, lakini certified Medical Doctors ni wenye MD only!, why not journalists ?.
Na hatujasema wengine wasiandike, but kuweka discipline fulani tuu, kuwa accredited journalist one need to have at least a basic degree.
Pasco
 
Nilisoma uchumi advance nkapenda kuandika na kusoma sana vitabu toka nipo mdogo nkachaguliwa economics university nikasoma week moja nkakimbilia journalism kwani inaendana na interests zangu!kuja field ni tofauti na yale ya class! Nafanya mengine tu
 
Sababu ni hiyo aliyoisema Pasco kuwa soko limefanya hila ya kukwepa wasomi ili wao waendeleze biashara hata kama "ethically rotten" si ndio maana unakutana na heading "Messi alazwa Amana" soma sasa hiyo habari!!!!

Wewe maadam umesoma na ni qualified basi muda utasema tu Deo Corleone

Hivi ulipata vile vitabu; Consciecism, The populist Idea na The Last Don!!!???

Natafuta. Davinci's code!!!
 
Last edited by a moderator:
Balaa. Halaf akawa mwandishi wa habari....????????

Sielewi mantiki ya swali lako ni nini lakini nadhani mimi na wewe si watu sahihi wa kumchagulia Maria nini cha kufanya ktk maisha yake!! Ukijifunza kutouliza na kuheshimu machaguo ya watu wengine, ndipo nawe hutahojiwa wala kufanyiwa machaguo. She has the right to do anything in her life, angeweza kuwa hata mama wa nyumbani, unemployed and all tht.
 
Huyu mama yake anatoka ile Nchi ya wamwagia tindikali yaani Russia . Ila kwa kuongea nadhani binti huyu kaongea vyema tu na ni kweli CCM are getting hard time .
Mama yake ni Mu-Hungary
 
Back
Top Bottom