Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huo ni upumbavu, usipoonyesha njia jinsi ya ku-save hata kipato kidogo hata ukipewa mabilioni hutokuwa na uwezo wa kusaveKwa hiyo unazungumzia 2020. Sasa hivi ni 2025
Huamini, lakini CAG anaiamini na anatoa hati safi kila mwakaMifumo ya kukusanya fedha ndani ya chama Iko imara kiasi gani? Siamini ukusanyaji fedha kiholela kunakofanywa na wanachama binafsi.
Chama kililipwa malimbikizi ya ruzuku wakayagawana hapo makao makuu na kuanzisha operation isiyo na tija kwa chopa ili wayatafune, kwani hawakujua kuwa kuna chaguzi?Hiyo ruzuku itafanya mambo mangapi? Tusiwe wepesi kutaja tu ruzuku, namba huwa hazidanganyi. Haya yote alishayaona Mbowe, akaongoza maamuzi yakafikiwa kuwa Kamati Kuu wafanye fund raising, wakagawana viwango. Kuna baadhi wamekuwa wanapinga uamuzi wa kugawana viwango vya kukusanya fedha kwa madai kwamba baadhi ya wanakamati pia ni wagombea, hivyo itaonekana kama wanatoa rushwa. Kuna mazingira inabidi tuyakubali. Mimi nadhani maamuzi ya Mwenyekiti kuwa wagawane fedha za kukusanya yalikuwa sahihi
Robert Heriel Mtibeli 😂😂Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa.
"Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo hatujapewa, mnawezaje mkaipinga rushwa ilhali mnaitengeneza?" - Mjumbe wa mkutano mkuu Bavicha
Bila shaka ulimaanisha Kamati Kuu, maana kwa muundo wa chama, sekretarieti haina udhibiti huo wa fedha. Bahati mbaya katika Kamati Kuu unayotaka isafishwe, karibu wagombea wote ni wale wale wanaoiunda, kwa hiyo watarudi, labda mchague akina OderoChama kililipwa malimbikizi ya ruzuku wakayagawana hapo makao makuu na kuanzisha operation isiyo na tija kwa chopa ili wayatafune, kwani hawakujua kuwa kuna chaguzi?
Sekretarieti ya chama makao makuu imejaa wapiga hela na yapaswa kusafishwa, sasa inahaha kumpigania Mbowe ili waendeleze ufisadi wao tu
CAG hukagua mapato na matumizi ya fedha na rasirimali nyingine za chama bila ya kujali mifumo ya kuzikusanya rasirimali husika kama ni mizuri ama mibovu.Huamini, lakini CAG anaiamini na anatoa hati safi kila mwaka
CCM tena yale majizi yalijazana huko CHADEMA kwa muda mrefu sanaTukisema chama kimejaa matapeli wanasema tunakichafua. Sasa chama kina ruzuku, join the chain etc kweli walishindwa kujipanga mwaka mzima kukamilisha mkutano wa siku moja?.
Huyo Moza Ally Mushi ni chawa wa Mbowe kwahiyo ni genge lile lile la wapigaji tu. Watupishe tukisafishe chama
Mbowe atafute pesa, kuimba waimbe Lissu, hiyo unaona inaingia akilini?Huk ndo uongozi mbovu wa mbowe mkutano ulijulikana miaka mitano kabla kwamba utakuapo inakuaje pesa haijakusanywa mpaka leo, anatengeneza tatizo Ali alitatue kwa kupiga pesa kupitia nimekopesha chama.
Kwamba chadema inakusanya kodi na kununulia tshirt za chama pia magari ya chama na kujengea ofs zake kinyume cha sheria labda nikukumbushe tu ukumbi wa ccm dom wa jk ulijengwa kwa kuchota pesa za wastaafu pension zao sa kama ccm wanajchotea kodi za watz kugharamia mambo ya chama nje ya rudhuku ambayo ndiyo halali yao unadhan watapata shda na pesa kama chadema nikukumbushe tu ccm wamejimiliksha mali za umma kama viwanja vya mpira na majengo wakati si haki yao sjui kama unalijua hli wa jikundu la maccmSasa kama chama tu kukiongoza wanashindwa ndio wataweza nchi?
Chama kimepeleka wp rudhuku pesa ya kadi za wanachama hv taasisi kubwa kama chadema bdo inahtaji pesa za mtu mmoja kweli?Mbowe atafute pesa, kuimba waimbe Lissu, hiyo unaona inaingia akilini?
ruzukuChama kimepeleka wp rudhuku pesa ya kadi za wanachama hv taasisi kubwa kama chadema bdo inahtaji pesa za mtu mmoja kweli?
KumekuchaMkutano wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) ulisimama kwa dakika kadhaa leo, Jumatatu Januari 13, 2025, baada ya wajumbe kuhoji hatma ya posho zao za kujikimu, tofauti na ahadi walizokuwa wamepewa awali.
Tukio hilo limetokea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya viongozi wa kitaifa kuondoka ukumbini.
Sasa Kama mnadai chama kina wanachama mamilioni halafu mnaweka mfumo wa MTU mmoja kuchangiaMbowe atafute pesa, kuimba waimbe Lissu, hiyo unaona inaingia akilini?
Kazi ya makamu Mwenyekiti ni ipi uko Chadema?Huk ndo uongozi mbovu wa mbowe mkutano ulijulikana miaka mitano kabla kwamba utakuapo inakuaje pesa haijakusanywa mpaka leo, anatengeneza tatizo Ali alitatue kwa kupiga pesa kupitia nimekopesha chama.
Halmashauri tajiri Tanzania nzima Ilala jiji iliwalipa posho watendaji mitaa na kata wiki moja baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa nilikuwa pale Anatouglou.Chama kililipwa malimbikizi ya ruzuku wakayagawana hapo makao makuu na kuanzisha operation isiyo na tija kwa chopa ili wayatafune, kwani hawakujua kuwa kuna chaguzi?
Sekretarieti ya chama makao makuu imejaa wapiga hela na yapaswa kusafishwa, sasa inahaha kumpigania Mbowe ili waendeleze ufisadi wao tu
Mabadiriko ya kwanza futeni nafasi ya makamu mwenyekiti haina kazi wala faida kama Chadema yote ni mwenyekiti tu.Na mwenyekiti yupo Tu!? Ndio maana watu wanataka mabadiliko