Trump anahangaika sana anazile ndoto za zaman kuwa usa bado ni kubwa na atatoka madarakan huku vita ikiwa inaendele , huyu steve akirudi utasikia marco rubio na pete wananguruma na mavikwazo juu ya kumitisha russia kwa mwenendo huo nani sasa atamsikiliza na kumuamin trumpsBaada ya mkanganyiko wa mambo mengi yakiwemo masuala ya Iran, Tarrif Rais wa Marekani amtuma mjumbe wake ili kuzungumza na Putin kuweka sawa mambo yao.
Kwa akili yako ndogo na chuki żako tu zinaweza kuifanya Marekani kuwa ndogo? Jipange vizuri wewe na chuki zako ambazo hazina maana wala haziwezi kuifanya Marekani iwe utakavyo wewe!!Trump anahangaika sana anazile ndoto za zaman kuwa usa bado ni kubwa na atatoka madarakan huku vita ikiwa inaendele , huyu steve akirudi utasikia marco rubio na pete wananguruma na mavikwazo juu ya kumitisha russia kwa mwenendo huo nani sasa atamsikiliza na kumuamin trumps
Most stupidity comments everPutin anavyokenua sasa. Anajihisi mwenye bahati ya ajabu kukutana na mjumbe kutoka super power kabla siku zake hazijaisha.
Ndio inazidi kusinyaa empire yoyote huanguka taratibu .. nachosema enzi za kulazimisha mambo hazipo tena ndo maana wanaparuana na iran mchina na urusi na pia usa hawaaminiki hata kidogo kil kiongozi anachukua tahadhariKwa akili yako ndogo na chuki żako tu zinaweza kuifanya Marekani kuwa ndogo? Jipange vizuri wewe na chuki zako ambazo hazina maana wala haziwezi kuifanya Marekani iwe utakavyo wewe!!
Mkubwa ni mkubwa tu na ukishupaza shingo lazima tu utavunjika na ukikomaa na nguvu zako kidogo lazima wakupoteze!! Sasa hivi nchi zote anazotaka yeye kaziwekea kodi ya kufa mtu sasa hivi nchi zote zinatikisika!! Mkubwa ni mkubwa tu!! Iran dawa yake inachemka subirini mtaniambia!!Ndio inazidi kusinyaa empire yoyote huanguka taratibu .. nachosema enzi za kulazimisha mambo hazipo tena ndo maana wanaparuana na iran mchina na urusi na pia usa hawaaminiki hata kidogo kil kiongozi anachukua tahadhari
Issues ni gaza na UkraineBaada ya mkanganyiko wa mambo mengi yakiwemo masuala ya Iran, Tarrif Rais wa Marekani amtuma mjumbe wake ili kuzungumza na Putin kuweka sawa mambo yao.