Kifo chake hakina tofauti na cha yule mcheza porn wa Russia aliyeanguka ghorofani jana.Kilichomkuta, sidhani kama marehemu alitarajia, maana kaanguka kimo kirefu kutoka kwenye matawi aliyokuwa akipunga upepo.
mkuu ilo buti lako au la mpita njiaKilichomkuta, sidhani kama marehemu alitarajia, maana kaanguka kimo kirefu kutoka kwenye matawi aliyokuwa akipunga upepo.
Wenzake walimwona kwa mbali hawakujua hata jina lake. Ama kweli maisha ni kamari.
hamna anayeshinda kwenye huu mchezo wa maisha. kwa jinsi navyotazama maisha ya huyu mjusi yalivyokatishwa yapo mengi sana mwanadamu anaweza jifunza.
Sina mengi ya kusema angalia picha ya mjus aliyepata ajali hio.
View attachment 1844958