Mjusi apata ajali mbaya wakati akipunga upepo

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Kilichomkuta, sidhani kama marehemu alitarajia, maana kaanguka kimo kirefu kutoka kwenye matawi aliyokuwa akipunga upepo.

Wenzake walimwona kwa mbali hawakujua hata jina lake. Ama kweli maisha ni kamari.

hamna anayeshinda kwenye huu mchezo wa maisha. kwa jinsi navyotazama maisha ya huyu mjusi yalivyokatishwa yapo mengi sana mwanadamu anaweza jifunza.

Sina mengi ya kusema angalia picha ya mjus aliyepata ajali hio.

IMG_20210616_150332.jpg
 
Kilichomkuta, sidhani kama marehemu alitarajia, maana kaanguka kimo kirefu kutoka kwenye matawi aliyokuwa akipunga upepo.
Kifo chake hakina tofauti na cha yule mcheza porn wa Russia aliyeanguka ghorofani jana.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Hapa utakuta Jamii inanza kuilaumu Bangi bila kosa lolote badala ya akili Mchunga ya huyu Mr. Mjusi...!!!
 
Jamani jamani si tumeshaanza kuokota hela mitaani ndo nini tena kuongea peke yako barabarani mleta mada
 
Dah!! Kwakweli hii habari imeniliza sana.😭😭😭
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Alisikika mlinzi mmoja akiwa lindoni na kirungu baada kusahau kazi yake ulinzi na kuanza kufatilia maisha ya mjusi
 
Kilichomkuta, sidhani kama marehemu alitarajia, maana kaanguka kimo kirefu kutoka kwenye matawi aliyokuwa akipunga upepo.

Wenzake walimwona kwa mbali hawakujua hata jina lake. Ama kweli maisha ni kamari.

hamna anayeshinda kwenye huu mchezo wa maisha. kwa jinsi navyotazama maisha ya huyu mjusi yalivyokatishwa yapo mengi sana mwanadamu anaweza jifunza.

Sina mengi ya kusema angalia picha ya mjus aliyepata ajali hio.

View attachment 1844958
mkuu ilo buti lako au la mpita njia
 
Back
Top Bottom