MK14 aweka wazi bifu lake na aliyekuwa kocha wa Simba-Sven

Kosa la Kagere ni lipi hapo? Kuieleza ukweli vettting panel?
Na kosa la Sven na Gomez liko wapi? Kwa kuwachongea Kagere alionesha kutokuwa na imani nao. Hivyo si vibaya na wao kumpiga benchi. Kocha atamwaminije mchezaji anayetilia shaka ufundishaji wake?
 
Halafu anatokea mtu anakwambia wazungu hawana fitina!![emoji276]
 
Kuna binadamu Wana roho mbaya utadhani wataishi milele. Kuna Mwalimu akikaimu ukuu wa shule watu wanaishi kama jehanamu utadhani amemilikishwa shule.

Pole mwalimu kwa yanayokukuta huko bush
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…