Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kosa la Sven na Gomez liko wapi? Kwa kuwachongea Kagere alionesha kutokuwa na imani nao. Hivyo si vibaya na wao kumpiga benchi. Kocha atamwaminije mchezaji anayetilia shaka ufundishaji wake?Kosa la Kagere ni lipi hapo? Kuieleza ukweli vettting panel?
Kufundisha national team kuna maslahi zaidi pia unakuwa na muda mwingi wa mapumzikoWhy makocha wanakuja Simba huku wanaendelea kutafuta kazi kwingineko?kuna shida gani?
Kuna binadamu Wana roho mbaya utadhani wataishi milele. Kuna Mwalimu akikaimu ukuu wa shule watu wanaishi kama jehanamu utadhani amemilikishwa shule.